Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂

Screenshots_2024-08-16-22-19-21.png
 
Bongo kuna waswahili kibao wanatoboa.
Isipokua bongo ni watu wa kuishi kwa kutosheka kama ulikua hujui.
Sio watu wa kujikweza kama Wakenya.
Kina Doctor Kairuki ni waarabu wale!??
Mwambie na Family ya Bidyanguze wanaomiliki WORLD OIL yenye depot Kigamboni.
 
Hawa watanzania wanateseka bwana. Ukitaka kujua mwenye anaishi maisha magumu angalia makucha and fingers. Huyu watchman aka The best 007 maisha inamcharaza kweli kweli😂🤣👇

1723839661373.jpeg
 
Between us wenye haturuhusu importation of vehicles older than 8 years old na nyinyi mnaoingiza magari za hadi miaka 15 ni wapi kuna magari chakavu?
Kununua gari kenya ni ghali kuliko Tanzania, hivyo mwananchi wa kawaida aki save pesa yake kununua gari ya 8yrs old, ataiendesha kwa miaka mingi sana. Hii ina reflect magari mengi ya zamani kuwepo Kenya.

Tanzania mtu atanunua gari ya 10yrs old, ataendesha miaka mitano, atanunua nyingine. Ndiyo maana huoni gari za 80's au 90's barabarani kama Kenya.
 
Kuna Hiace zinatembea Kenya kama daladala mimi na uzee wangu wote niliziona zikiwa daladala hapa Tz wakati niko sekondari.
 
Kununua gari kenya ni ghali kuliko Tanzania, hivyo mwananchi wa kawaida aki save pesa yake kununua gari ya 8yrs old, ataiendesha kwa miaka mingi sana. Hii ina reflect magari mengi ya zamani kuwepo Kenya.

Tanzania mtu atanunua gari ya 10yrs old, ataendesha miaka mitano, atanunua nyingine. Ndiyo maana huoni gari za 80's au 90's barabarani kama Kenya.
Peleka uongo wako mbali, new number plates zinatoka after every 3 months proves that your point is not true.
 
Venus Star alishaonesha namba za Tz na Ke zilipofikia sasa. Kwa sababu tuna permutations sawa (i.e how many times numbers and letters can be re arranged), utaona wazi nani amesajili magari mengi. BTW, kama hufahamu permutation and combination (a.k.a counting without counting) nitakuwa nampigia mbuzi guitar.
 
Trailer za bongo zinatumia number same number plates sequence na gari za kawaida. In Kenya trailers hutumia a different sequence, same with Tractors and Heavy Machinery. Kenya ilibadilisha number sequence za motorcycles na TukTuks in 2009, Bongoslum ilifanyika in 2016.
 
Back
Top Bottom