Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wanaenda choo kwa hisani ya lazy Tanzanians! wamejikuta hawana pa kuagiza maize zile kelele za sijui kuwa na mashamba DRC zimeisha! Sijui kuagiza Zambia na Malawi wamekuta Zambia na Malawi wanaagiza Tanzania pia!

View: https://x.com/HabariLeo/status/1823727729998758286

View: https://x.com/DMMUZambia/status/1823260607560212592

View: https://x.com/MAD4safari/status/1823714312306794631

View: https://x.com/TAZARAHQ/status/1823684615007027499

CC: Wachawi Rhaenyra Targaryen NairobiWalker Teargas n mwathadan mpo?

We Kenyans aren't even concerned that much with wherever we buy our grain. When we have enough grain, we do not import, when we don't have enough grain, we import from whichever country offers us a good deal. It is you Tanzanians who have this stupid obsession. When we don't buy grain from you, you complain that we hate you. When we buy grain from you, you boast that you feed us. Interestingly, all Tanzanians have this attitude, it's like you're taught from an early age. It's ridiculous and laughable. Relax, breathe, sit down. 🤣 🤣 🤣
 
since independence hamjawahi kuwa na enough grains! Wacha Ukundustan!
 
Na Bongo lazima uwe Mwarabu ama Muhindi ndio utoboe.
Halafu taja hizo 5 - star na wamiliki tuone.
Bongo kuna waswahili kibao wanatoboa.
Isipokua bongo ni watu wa kuishi kwa kutosheka kama ulikua hujui.
Sio watu wa kujikweza kama Wakenya.
Kina Doctor Kairuki ni waarabu wale!??
 
Wewe watchman huna haki ya kuchangia humu ndani mpaka utupe uthibitisho kwamba uliyaondoa ma slums ya Nairobi kunako Google.
Wewe ndio watchman, Acha kukana kazi yako. Hata ukiangalia time huwa unacomment here always confirm you are watchman, wewe mostly unakuanga active JF between 10:30 pm-5:30AM. Hizo huwa time zako kuchunga mali za watu. Daytime huwa unalala ndio maana huonekani sana😂😂
 
wanaenda choo kwa hisani ya lazy Tanzanians! wamejikuta hawana pa kuagiza maize zile kelele za sijui kuwa na mashamba DRC zimeisha! Sijui kuagiza Zambia na Malawi wamekuta Zambia na Malawi wanaagiza Tanzania pia!

View: https://x.com/HabariLeo/status/1823727729998758286

View: https://x.com/DMMUZambia/status/1823260607560212592

View: https://x.com/MAD4safari/status/1823714312306794631

View: https://x.com/TAZARAHQ/status/1823684615007027499

CC: Wachawi Rhaenyra Targaryen NairobiWalker Teargas n mwathadan mpo?

Mahindi yenu yatieni makalioni, 😂😂
 
Mbona kama hujiamini mnuka nnyaa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
JKIA handles double the number of passengers handled by all Tanzanian airports. Kama unapinga kuja na data na mimi pia nilete zangu😂😂🤣
 
Kuna mbwa mahali amesema SAROVA ni hoteli ya wahindi. Je anamjua jimmi Kariuki??
images.jpeg
 
Kashamba kweli kweli, alafu kanaonekana ni ka hustler, kamepitia maisha magumu mnooo, mm nakafahamu tangu kipindi kile kanasoma kapo humu kakubwa but it seems kalirudia rudia shule na ndiyo maana kalichelewa kupata kazi, nilikuwa nakaonea kweli kweli mpaka kanaenda ku download pesa mtandaoni nikakaita bwana mapesa, now kamepata kazi ya kuosha vidonda basi kanavimba, kumbe wenzie tulishatoka huko kitamboo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ulitoka wapi? Uliacha kuwa watchman?
 
Back
Top Bottom