REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Jeans yake ya bei poa, ukiweka kwenye maji dakika tano maji yote yanakuwa blue. Ana fake life kwa kuletea maisha usanii.Si kwa ubaya ila huyu jamaa huu mpozi wake huwa unanikera kweli, mwenyewe alijiona kavunja kumbe kaboa🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3070344