Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakupa airtime ya mwisho. Endelea kujifurahisha.. mana hata hujui chochote, unajichekesha tu

Ukiondoa hao watu pamoja na Majaliwa, Ndugai, Lukuvi, Prof Kabudi, mama anabaki na watu gani wa kumpa nguvu?
Wakina Slaa, Ndeleji na Mavunde ndo watampa nguvu?

Baraza la mawaziri wenyewe wengi tu hawamtaki kama Prof Mkumbo, Jafo, Ummy Mwalimu na Bashe

Na CCM yenyewe ina watu, mama pamoja na Urais au uwenyekiti wake hawawawezi hata kuwadindia. Wao wakiamua mama kutogombea tena, mama hana uwezo wa kuwapinga
Miaka wa uchaguzi hii.. anarudisha wenye ushawishi barazan..
it is too late, watu tumeshapanga mipango yetu

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1823791396790395348?t=E6RY1wxQ3QTtLfzHNlDegg&s=19
Kijana ChoiceVariable unakumbuka hii? huwez kuelewa!
 
GTRfWJxWYAAyLJM


GTRfWJvXwAA--Uv


GTRfWJuWEAAalCB



View: https://x.com/BoeingSCSpotter/status/1816181389202710857

MY TAKE
Hivi Mkopo Project Mawingu ulilipwa? NairobiWalker


View: https://youtu.be/eBKtSUKhZYs?si=gmvLtBc-dVzNdnL5
 
Wababe wa michezo with zero medals from the Olympics🤣🤣🤣🤣

Continue consoling yourselves and licking your wounds
Olympics ndiyo nn? Kwanza sijui hata ratiba yake, incase you don't know, watanzania wengi hawana habari yoyote kuhusu olympic na hawafuatilii, yn uniweke kwenye TV niangalie mita 500000000000, hell no.
 
Back
Top Bottom