Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
It's already stable bongolala. Huoni madafu imelemewa?Loan ikikata mtaenda kuchukua nyingine Ili Shilingi iwe stable au? 😁😁😁
It's already stable bongolala. Huoni madafu imelemewa?Loan ikikata mtaenda kuchukua nyingine Ili Shilingi iwe stable au? 😁😁😁
Hii imewasaidia nn kuondokana na fedheha ya njaa na maandamano ya unga, mnapenda sana sifa za kijinga wasenge nyinyi.
Tuonyeshe yenu yenye mtakuta dunianiSideways mtazikuta mbinguni
Anaitwa Thee Pluto. He's a Kenyan YouTuber idiot.Huyo kijana unajuaje si Mtanzania?
Ardhi ya Tanzania sio sherabera kama ya kenya kwamba kila mtu anaweza mirikiKijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣
Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
The word is miliki, fool.Ardhi ya Tanzania sio sherabera kama ya kenya kwamba kila mtu anaweza miriki
Wewe mama ardhi ya tz sio sherabera sasa mwarab unaweza fananisha na mkenya? Nyie tu ardhi yenu hamuwezi miliki mmewaachia wa kidinilezungu na kenyatta familyWe pimbi, sheria zingine hua za kuliwaza watu maskini kama wewe. Waarabu wanamiliki Ngorongoro na wanafanya vile wanataka hadi wakawafukuza wamasaai wenye walikua wanamiliki ardhi huko.
Sideways ndio mnyama mgani?Sideways mtazikuta mbinguni
Still ownership. Just in a bureaucratic way but still ownership. Doesn't change the fact that Kenyans own many buildings in Arusha. Hata hapa Kenya vitu vingi tunavimiliki kupitia kampuni tulizosajili.Kampuni ikisajiliwa Tz ina haki ya kumiliki ardhi. Hata Mkenya anaweza kumiliki ardhi Tz kama ana kampuni iliosajiliwa Tz ila sio kama yeye binafsi.
Usikute huyo mleta hiyo mada ni mtu mzima kama geuzwa ulambwe, kijana mdogo kama mimi tayari ni investor vumbistan 😂😂Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣
Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
😂😂🤣🤣.Watakwambia nionyeshe skyscraper 20km from CBD, alafu skyscraper yenyewe surrounding ni ushuzi tupu. Hivi Dar Kuna zoning kweli?
So The Pluto ni Mtanzania siku hizi?😂😂🤣Huyo kijana unajuaje si Mtanzania?
Hapa ndio umeandika nini? Miji yetu Iko namna hii👇👇Huoni hizo ni screenshot za Google earth wewe mandazi? I took those screenshots myself.
Hii Dar yenu mtaikana hadi lini?
I’m struggling to find tarmac roads in this picture 😂Hapa ndio umeandika nini? Miji yetu Iko namna hii👇👇View attachment 3069740
Fake James atakuja azoom akuoneshe Moja. Ngoja utaona.😂😂😂I’m struggling to find tarmac roads in this picture 😂
Zipo nyingi tuu mbonaI’m struggling to find tarmac roads in this picture 😂
Mkenya akiri hakuna slums Tanzania asema masikini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kunyaland asema nyumba zote Tanzania ni za matajiri Kunyaland 😂😂😂
Wakenya wachanganyikiwa na Tanzania mmoja anasema anataka kuhamia Tanzania mwingine anasema kipindi wamekuja na wazazi wake wali tafuta mpaka shule wahamie Tanzania,
View: https://youtu.be/DFSmUvVFedE?si=l6VuYMzDN_wFNIff
Which village is this?Zipo nyingi tuu mbona View attachment 3069751View attachment 3069752