Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Yani wamecheza na Fountain gate wanajitamba 😂😂😂😂😂😂😂.Wamecheza na team ya shule ya mtaani tabata
Fontaine Gate ilimaliza ligi mafasi ya 11 😀 😀Yani wamecheza na Fountain gate wanajitamba 😂😂😂😂😂😂😂.
Tena wameshinda kigoli kimoja aaagh lamamayeee.
Hawa tungewapa Coastal union
Halafu wametoka nayo moja bila doooh!?Fontaine Gate ilimaliza ligi mafasi ya 11 😀 😀
Halafu kombe unalolinga nalo ni sawa na Uefa conference league.Are you aware Gor is the only club in the original East African Countries with a continental trophy?😂😂🤣
So siku Yanga or Simba will win one kujeni tuongee.
Yaani haka kadaraja ndio mnasema ni karefu kuliko daraja la jpm kule Mwanza?
Alaf nimeskia mutalipia eti mjapan anataka pesa zake 😅😅😅😅😅😅Dongo Kundu Bypass Mombasa 25KM
View attachment 3067238
View attachment 3067240
View attachment 3067242
View attachment 3067244
View attachment 3067245
Ulisema ulifika which class?😂😂🤣When did the last time Gor qualified CAF champions.?😂😂😂
Eti mbio tu? Is that how you console yourselves. Nyinyi mmebaki na nini to begin with?Kitu walichobaki nacho kenya ni mbio tu.
So KIRDI iko South Africa ama?😂😂🤣The biggest and ultra modern Agricultural laboratory in East and central Africa U/C 🇹🇿🇹🇿🙏
View attachment 3067342
Who mentioned South Africa ?
Yaani haka kadaraja ndio mnasema ni karefu kuliko daraja la jpm kule Mwanza?
Timu gani Tanzania ishaibeba Hilo Kombe?😂😂🤣Halafu kombe unalolinga nalo ni sawa na Uefa conference league.
Yani hadhi ya tatu na lishafutwa kwa kuingizwa ndani ya CAF confederation cup.
fis Faras wewe😂😂😂
Nimekuuliza kama KIRDI iko South Africa 😂😂Who mentioned South Africa ?