Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland inadharaulika kweli, Rais kapandishwa ngarangara na mmeachiwa wenyewe mjifungulie mlango, diplomatically inaongea thousand languages hii

Screenshot_20240812-133222.jpg
Screenshot_20240812-133257.jpg
 
Hata sisi huwa tunachukua hizi medals za Olympic 😁
 
Hata sisi huwa tunachukua hizi medals za Olympic 😁
Tukihesabu Winifred Yavi tunafika 5 gold medal
 
Kama Kuna vikaragosi vya wazungu hili eneo ni Tanzania. Huko kwao rangi nyeusi ni sura mbaya Ndio maana dada zao wote wameingia kwenye mikorogo. Kuna Mnigeria mmoja pale YouTube anaitwa Nwache, aliitembelea Kenya akaishi Nairobi alafu akaenda bongo akaishi Dar. Alikiri wabongo wanawashobokea wazungu sana. Ndio maana utawaskia Kila mara wakisema ooh mnacopy wazungu. Inaitwa projection.
Says Mlamba mavi ya wazungu aka major non NATO ally 🤣🤣🤣🤣
 
Kombe la hadhi ya tatu!???
Hivi unajua aliyefika robo fainali Uefa champions league ni bora kuliko aliyebeba Uefa conference league!??
Yani lile kombe lilikuwa la timu za ligi daraja la kwanza sio timu za ligi kuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kwani siku hizi kuna Kumbe la kufika robo finali?😂😂🤣
 
Back
Top Bottom