Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hiki kijamaa kimejawa na uongo mpaka kimekua kipumbavu😂😂😂 Teargas eti kalikua kanaleta battle kwamba hii buliding KIRDI ni kenyan national Agri lab ili kipate kushindanisha na new Dodoma Agricultural lab .. hiyo KIRDI ndio hii 👇🏾
IMG_0709.jpeg
IMG_0710.jpeg
wewe mpumbavu kaa chini na ukweli mmalize tofauti zenu 😂😂😂
 
Yani hiki kijamaa kimejawa na uongo mpaka kimekua kipumbavu😂😂😂 Teargas eti kalikua kanaleta battle kwamba hii buliding KIRDI ni kenyan national Agri lab ili kipate kushindanisha na new Dodoma Agricultural lab .. hiyo KIRDI ndio hii 👇🏾View attachment 3067532View attachment 3067533wewe mpumbavu kaa chini na ukweli mmalize tofauti zenu 😂😂😂
industrial vs Agricultural? wapi na wapi?
 
Timu gani Tanzania ishaibeba Hilo Kombe?😂😂🤣
Kombe la hadhi ya tatu!???
Hivi unajua aliyefika robo fainali Uefa champions league ni bora kuliko aliyebeba Uefa conference league!??
Yani lile kombe lilikuwa la timu za ligi daraja la kwanza sio timu za ligi kuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom