Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata sisi huwa tunachukua hizi medals za Olympic 😁
Mnatamani sana medali za olimpiki hadi mnanyang'anya watu wengine uraia wao na kusema ni watanzania!😂😂
 
Nyinyi ngojeni mashindano ya uchawi😂😂🤣

1723464808937.jpeg
 
Hata sisi huwa tunachukua hizi medals za Olympic 😁
Tanzania ilitoka nunge bwana hadi President wenu akaanza kulia😂😂🤣👇👇👇

1723464937534.jpeg
 
Back
Top Bottom