Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe the last time Yanga ama Simba ilifunga Gor MahiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Kwanini tujadili past.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ask Gor to qualify international leagues so that we go get to see who’s better. πŸ˜‚πŸ˜‚ pambaneni kifika tulipo then ndio mjipime nasi..
 
Huijui wewe.
Tanzania inajulikana kama taifa linalokua kimpira wa miguu hapa Afrika.
Ndio maana hata michuano ya ufunguzi wa African Football League Infantino alipendekeza Tanzania pale walipokua wanachagua nchi ya ufunguzi.
Hadi Arsene Wenger alihudhuria ufunguzi wa hayo mashindano.
Na hadi LALIGA ilikuja kuwekeza kwa Yanga yenyewe baada ya kuona ukuaji wa mpira wa miguu Tanzania.
Ndio maana unaona hadi raia wa South America wanakuja Tanzania kucheza mpira kwasababu ya kujulikana Ligi kuu ya Tanzania duniani.
Wewe ndio huijui kimichezo kwa roho chafu yako.
Kelele mingi as usual. Don't hide behind football to show your lack of sporting activities. Hata kwenye football unayotaja mko number ngapi kwenye world ranking? How many football talents have you exported to major world leagues? Mbaazi ikikosa matunda...
 
Hatujasema sisi wanasema wenyewe 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom