Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kampuni hata sio ya Mchina😂😂🤣.

Na hata kama sio ya mchina, who are workers there? Ni watanzania ama?😂😂🤣
Unabeza golden dragon kuwa ni Chinese boxes halafu kumbe hiyo kampuni ya Basigo pia ni kampuni ya kichina 😂😂😂 ule uchizi ulionao wewe ni wa kiwango cha lamı. 😂😂😂
 
Unabeza golden dragon kuwa ni Chinese boxes halafu kumbe hiyo kampuni ya Basigo pia ni kampuni ya kichina 😂😂😂 ule uchizi ulionao wewe ni wa kiwango cha lamı. 😂😂😂
Poverty imekuaribu akili you errand boy. Basigo sio kampuni la mchina, idioti 😂😂
 
Roam electric bus. This people are also planning to go large scale production at their plant in Nairobi.

1723366580691.jpeg
 
Msanii kutoka Marekani @romeomiller akiwapa burudani wananchi wa Arusha pamoja na watalii kutoka nchi mbalimbali kwenye Tamasha la Kimataifa la Maasai Global Festival lililohitimishwa jana Agosti 10, 2024 katika viwanja vya Eden Garden Arusha

1723370302117.png


1723370351307.png
 
More than 100.

Alafu I said we don’t import fake products from China, if China wants a share of Kenyan Market they have to assemble those buses here in Kenya. Nyinyi endeleeni kuletewe refurbished boxes.
Mlivyoletewa nyinyi refurbished train ya escape from sobibo basi mnajua kila mtu ataletewa huo uchafu
 
Back
Top Bottom