babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Howo truck, donated by China.
Howo truck, donated by China.
Zinawauma Sana 🤣🤣🤣🤣🤣 leta ushahidi ni refurbished nifunge ACC SASA hvi ww unaeza refurbish bus la 2023 to 2024Zile Golden Dragon zao huwa refurbished and that’s why you will never see those buses in road after 2yrs of operation. They usually stall😂😂
Wao hawatumii gari za china 😅😅😅😅Howo truck, donated by China.
View attachment 3066695
Siku hizi 1.3 ni over 2M?😂😂Na wamevuna over 2m USD both yanga and Simba
Na hapo walipewa msaada. 😂😂😂Wao hawatumii gari za china 😅😅😅😅
Hile mambo ya Rwanda umeamua aje?😂😂Zinawauma Sana 🤣🤣🤣🤣🤣 leta ushahidi ni refurbished nifunge ACC SASA hvi ww unaeza refurbish bus la 2023 to 2024
View attachment 3066693
So Rwanda wamenunua only 4 buses 😅😅
Nimekuuliza so Rwanda wamenunua bus 4 Tu alaf kiwanda kikifungwa kama mobius munakasirika 😅😅😅😅😅Hile mambo ya Rwanda umeamua aje?😂😂
Basigo entering the border of Rwanda from Kenya👇👇
View attachment 3066698
Huyo ni meneja habari WA yanga hapo anasema kama utani kwasababu munaongea Sana kama vile ni Messi 🤣🤣Ingekuwa ni mbwa za vumbistan ungeskia " wakenya wanatuibia mchezaji wetu Duke Abuya serikali yetu iingilie hili jambo" 😂😂👇
View attachment 3066701
😂😂😂😂😂😂 Hawa watu wakiongea unaeza sema ni Taifa kama Sweden hvi kumbe SASA....................Na hapo walipewa msaada. 😂😂😂
Mnafikiria kuuziwa buses na Uganda😂😂🤣🤣.So Rwanda wamenunua only 4 buses 😅😅
Alaf mukiambiwa ukweli munakasirika 😅😅
Tanzania inaenda kwenye bus za umeme or gas ndio kwa SASA tunafkiria Hilo sio hzo za kucharge tunafkiria kama hizi kwa SASA 👇👇
View attachment 3066702
Every journey starts with a single step. Next is Tanzania😂😂Nimekuuliza so Rwanda wamenunua bus 4 Tu alaf kiwanda kikifungwa kama mobius munakasirika 😅😅😅😅😅
Bus gani, Nani kaagiza bus kutoka Uganda Sisi tunafkiria bus za gas au umeme wa cable, Tanzania haifikirii 2 yrs tunafkiria 30 yrs mzee Baba,Mnafikiria kuuziwa buses na Uganda😂😂🤣🤣.
Whatever you have posted you will never see in Tanzania hadi ufe. Nyinyi ngoja tu Uganda wawauzie their town service buses, na wakidelay don’t be surprised to see Basigo in Tanzania .
Actually we are even planning to export some to your birth country Yemen😂😂
Ingekua kampuni ya mkenya hapo sawa lakini ni ya mchina hata sihangaiki 😂😂😂Every journey starts with a single step. Next is Tanzania😂😂
Kampuni hata sio ya Mchina😂😂🤣.Ingekua kampuni ya mkenya hapo sawa lakini ni ya mchina hata sihangaiki 😂😂😂