Niliwahi itumia ya mtu kwa muda baada yangu kuharibika.Naona unatetea simu yako. By the way why would you say ViVO is better than Google Pixel? Ushaitumia Google pixel before?๐
Ila mimi natumia OPPO A52.
Vivo pia niliwahi kuitumia tena mwisho mwaka jana tu nilitumia vivo x90.
Huwezi linganisha Google na hizo simu.Hata ufanyaji wake kazi wa soft ware huwezi linganisha.