Can I have land pricing ya hapo nilipobold? make sure lipo NBO
Tafadhali na pia kumbuka tunaongelea general population affordability and choice.
Huo uswazi unaouona ni nyumba za style of 80s walishindwa kuzimaintain I can show you they can be turned to something wakiamua.
View attachment 3064289
Can you notice walivyoongeza na kubalance juu kua Contemporary?
View attachment 3064291
That's the reality yes nakubali kuna maeneo mipango miji ilifanya makosa makubwa kuruhusu ujenzi holela.
The thing is mnavyobrag kuwa EA powerhouse tulitegemea hadi Mkenya wa chini awe na what you bragging. Ila kuona nyumba ya Bati ni nyumba asee,
If you say mkenya anaweza buy ardhi weka pricing tuone sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa slums akiwa na uwezo.
But mnafahamika kuwa na slums in the world (which imeharibu your bragging mpaka tuone mnatupiga kamba).