Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tanzania is a non sporting nation😂😂🤣👇👇
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1821472231488172517
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1821472231488172517
Maskini wa JF😂😂Huyo jamaa ni kama anateseka in life. Na ukiona vile anajichocha huezijua anafanyia mwarabu kazi za errands😂😂🤣
#Rutomuststay. Ha ha ha upuuzi mtupu😎😎😎Nenda ukalishwe na bibi fukara hii. Wewe na watchman aka The best 007 same whatsapp group ya ufukara😂😂🤣.
Na before uende please explain more on this issue ya kutudanganha ati unaimport simu kumbe wewe ni tu errand boy with a 2019 refurbished phone😂😂🤣
View attachment 3064526
Tunawaambia Wakunya kutangulia si kufika!
View: https://x.com/Hellomediacomp/status/1821483848984649813
VS
View: https://youtu.be/94U5K68mnCE?si=TWH0PUWolNjSBjkZ
Halafu unakuta watu wenyewe ni mafukara kama kipchirchir Teargas😎Kwenye Uwekezaji kuna kitu kinaitwa sustainability.
Unaundaje gari la millimioni 100 kwa Watu wanashindia Chapati.
Kenya inanuka umaskini
Pump machine ya Fuel jet ya A380 ina flowrate tofauti ni tofauti na za kawaida! Ndo maana hutapata A380 ikitua JKIA!Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.
View attachment 3064150
Ebu tuonyeshe hiyo pump machine hapo JNIA😂😂🤣🤣.Pump machine ya Fuel jet ya A380 ina flowrate tofauti ni tofauti na za kawaida! Ndo maana hutapata A380 ikitua JKIA!
Ati chapati si wajitambe! Watu wanashindia ugali!Kwenye Uwekezaji kuna kitu kinaitwa sustainability.
Unaundaje gari la millimioni 100 kwa Watu wanashindia Chapati.
Kenya inanuka umaskini
Axle za upoyoyo!
Made in Kenya mammae 😍😍
Sijui kwanini hii statement nimeisoma kama Madeni Kenya……😂😂😂Made in Kenya mammae 😍😍
Kima hao tuu hawawezi kumngoa Ruto madarakani🤣Wale wa maandamano Nanenane mmefikia wapi?