Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

According to Ichoboy trains will be stopping huku nje kuload or offload passengers🤣🤣😂😂

Passengers will the walk over the rail tracks hili waingie ndani ya terminal building🤣🤣😂😂

IMG_0438.jpeg
 
Mimi siongelei track, hizo hata Voi station iko na tatu😂😂🤣🤣.

I’m talking about this scenario where passengers can board and offboard from two or three trains at the same time.

View attachment 3059981

Ntakujibu dodoma inaweza handle train mbili wakat mmoja, moja inashsha na nyingine wanapanda then wale wanaoshuka watapita underground kutoka kwenye jengo, kila mara tunapost video za dodoma ww hua unakua wapi??😅😅😅
 
View attachment 3059982
No ndani ya jengo kuna track nyingine inajengwa hapo achana na Ile inayofanya KAZI SASA hvi hio ya nje ni kwa ajili ya train ambazo hazisimami station kabisa, na hio track itakua ni kwa ajili ya offloading passenger na watatokea underground kutoka nje ya jengo na video kibao tushapost hapa ww hua unakua wapi???
 
Ntakujibu dodoma inaweza handle train mbili wakat mmoja, moja inashsha na nyingine wanapanda then wale wanaoshuka watapita underground kutoka kwenye jengo, kila mara tunapost video za dodoma ww hua unakua wapi??😅😅😅
Hata Voi inaezahandle trains tatu kwa wakati moja😂😂🤣.

Issue here is can those two trains offload and load passengers at the same time in that Station?😂😂🤣
 
Tazama hii video ujifunze kitu ambacho hamujawah kua nacho hamutakua nacho mpaka kiyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/9zaYtCNFQ-Y?si=vLBXicIQmS0tX0Db
 
No ndani ya jengo kuna track nyingine inajengwa hapo achana na Ile inayofanya KAZI SASA hvi hio ya nje ni kwa ajili ya train ambazo hazisimami station kabisa, na hio track itakua ni kwa ajili ya offloading passenger na watatokea underground kutoka nje ya jengo na video kibao tushapost hapa ww hua unakua wapi???
So ndani la jengo watu watakuwa wanashushwa upande mwingine then the walk through the track chini Alafu ndio wapande the boarding platform and finally inside the terminal building?😂😂😂🤣🤣
 
No wakishuka wanashuka kwa under ground upande huo huo wanaoshuka kitu ambacho hamutakua nacho mpaka kiyama 🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/7g8eC9wDIuc?si=_q2f9SGV1aC6DWtW
 
Underground tunnels zenye Tuko nazo kwa Nairobi Commuter rail ndio unatupigia kelele?🤣🤣🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sizungumzii tunnel za kwenye milima ambazo Sisi tunazo nne nazungumzia train station mzee
 
Mimi siongelei track, hizo hata Voi station iko na tatu😂😂🤣🤣.

I’m talking about this scenario where passengers can board and offboard from two or three trains at the same time.

View attachment 3059981
Wakenya hawana akili aiseee, hapa abiria wanashuka chini baada ya kutoka chini wakapanda juu alafu wanashuka tena chini kupanda diesel train 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1722628300534.jpeg
 
Wakenya hawana akili aiseee, hapa abiria wanashuka chini baada ya kutoka chini wakapanda juu alafu wanashuka tena chini kupanda diesel train 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3059990
Something like that you will never see kwa hile SGR yenu inakwama msituni mara kwa mara🤣🤣🤣😂😂
 
Video ya 2022 inaonyeshe double stack😂😂🤣🤣👇👇👇

View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=rOP9RG8RxeasILtX

Sasa article yenye mmeweka hopes zenu ndio hii hapa ni ya 2021😂😂🤣🤣👇👇👇

Ulishasema iwapo reli ya umeme ya TZ ikifika km 200 unajitoa jf,kitu kishakuprove wrong now unakaza fuvu na argument zingine za kipumbavu kuhusu cargo,tukikuambia ww ni chizi uwa tunamaanisha
 
Ebu tafuta hiyo comment uweke huku😂😂🤣🤣.

Mimi nashangzwa na SGR inayokwama mara tatu kwa wiki🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom