Kwani Tanzania mnakuanga na mizigo? Na nikiwaambia SGR yenu itakosa mizigo mnakasirikaππYaani eti Uganda wana mzigo mkubwa kuliko hata Tanzania, mapishi mengine buana πππ
Na shehena zote za SGR, Nyerere dam, barabara, kilimo, madini, madaraja, viwanda, EACOP bado Uganda katushinda mzigo π π π€π
Haiezienda safari ndefu juu itakwama poriniπππ€£Aloo kama mbele mwanangu β€οΈ β€οΈ π π π π πΉπΏ πΉπΏ π₯ π₯ π₯ π₯
View attachment 3059283
Mzee si umeambiwa usiengage kwa mambo za SGR? Why are you tagging me again in that ugly coach?πππ€£π€£
Waliona itaenda kuua Mombsa port.Ile ya serengeti kunyan nakumbuka walileta ushoga wao,jamaa wajinga sana
Niumwe na mtumba unakwama kila mara porini?πππ€£π€£πππDuh huyu msenge treni ya umeme inamuuma wallahi, naomba tumuache aendelee kuumia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
For your information i donβt post here to be replied by you.Iβm also not looking for validation from any Tanzanian here. Ni nyinyi ndio mnawashwa kunijibu. Mimi furaha yangu ni Kia hawa pekee yangu to post things here without being disrupted πππ€£π€£π€£.Mm huwa nashangaa sn, naomba kuanzia leo huu mjadala uishe, tulishamaliza kitambo ubishani wa SGR tatizo watanzania bado wanampa air time huyo kichaa ambaye hakubaligi kushindwa kwa chochote, just imagine anakuambia treni ya Kenya inakimbia kuliko ya umeme, na bado kuna watu wanabishana naye, ifike kipindi sisi tuendelee kuwapelekea moto kwa kupost treni zetu huyo kichaa akikosoa wala msimjibu. Kwenye mambo mengine tubishane ila sio SGR, BRT, hydro power plants, airports, marine vessels, wala bus terminals.
Huna haja ya kunitukana....Nimeshuhudia yanayofanyika Air Tanzania....Mawazo haya ni ya kipumbavu na kimaskini kama wakenya
Mnashingilia vioo kisafishwa? If I call you backward ntakuwa nimekosea?π€£π€£ππ.
We kichwa treni sio moja ziko zaidi ya tatu.Kwanini isijae na treni ni moja inabeba abiria 900 na safari ni nne
Hii mitungi inakaa bank automat na haitumii EC Bank card ina kazi gani? Yaani unaweka all these machines kwa ajili ya ku-print ticket tu? What a wastage of resources!Backward countryππ.
Watu wamepanga line ya kupata tickets as wako caterπππ€£ππ
View attachment 3059843
Vs
Modern Country.
View attachment 3059844