Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only SGR train that doesn’t stall in the wilderness.

View attachment 3058428
20240801_103207.jpg

Zingatia tarehe ww bwege,ushamba umekujaa,hiyo ni kitu ya kawaida
 
Haya majamaa masenge sana yaani yanalazimisha kuihusisha Tanzania kwenye majanga yao
Halafu ukisoma maelezo yao eti imekutwa kwa mtu aliyekuwa akisafiri from Uganda to Rwanda via Kenya dah hata geography inakataa sentensi kama hii, it does not make sense unless the motive was to mention Tanzania
 
Wewe mbwa Teargas official statements zimetoka huku 😂😂 Dar-Moro pekee ishapiga 188k pax in a month. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/C-Hy5rtqAy7/?igsh=MTZ4dzVyZHB4MWk4OA==. We are travellers. 😂😂 jua hiv The second busiest city ni Mwanza 😂😂 hii treni ikifika Mwanza basi ujue kwa mwezi kusafirisha watu 800k-1 million litakua jambo la kawaida. 😂😂😂 sisi ni bora kuliko nyie mbwa tu.

Siku SGR ya kenya itafika malaba itabeba abiria 2M kwa mwezi.
 
Data imetolewa leo TRC carries 8k pax per day. Sasa fanya hesabu per month ni 240k. For 3 months ni 720k yenu inabeba 500k per 3 months
7k tena imegeuka na kuwa 8k?😂😂🤣🤣. Two routes in Tanzania is 7k per day, one route in Kenya is 9k per month😂😂🤣🤣
 
Route moja tu SGR Kenya is doing 300k per month. Routes mbili Tanzanian SGR is doing 180k per month🤣🤣😂

IMG_0411.jpeg
 
Back
Top Bottom