Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kutoka kwa mashabiki mpaka uwanjani ni mita 200 😂😂😂😂Sikujua kama wakenya ni washamba sana....eti TZ hakuna foldable seats😀View attachment 3057829
Kutoka kwa mashabiki mpaka uwanjani ni mita 200 😂😂😂😂Sikujua kama wakenya ni washamba sana....eti TZ hakuna foldable seats😀View attachment 3057829
😂😂😂 jamaa ni mpumbavu wewKenyan trains are doing around 300,000 passengers per month. That’s three times what Tanzanian SGR is doing.
View attachment 3057859
Mtajua kwa nini America USA na China bado wanatumia diesel trainsMmepata cha kuongeza mnasahau kuwa kila suluhisho hupatikana kwenye changamoto.No one expected it to happen na inapotokea ndio suluhisho jipya huja.
Newly formed Kenya Navy Marine Commando unit undergoing vigorous training under UK Royal Commandos and US Naval Special Warfare command…. These are soon to be the Kenya Navy Seals…AK 47 ipo hivi 👇 👇 👇
View attachment 3057833
Zinazoonekana kwenye Video ni hizi hapa. 👇👇👇 Hebu nioneshe AK 47 hapo
View attachment 3057831
View attachment 3057834
Maandamano yaliishia wapi?Kenyatta Avenue Nairobi under Gen Z
View attachment 3057907
Mambo ya USA na UK tulishayasikia miaka na miaka na uovu walioifanya kwenye mataifa mengi waliokuwa upande wao. Mfano Iran, Afghanistan nk.Newly formed Kenya Navy Marine Commando unit undergoing vigorous training under UK Royal Commandos and US Naval Special Warfare command…. These are soon to be the Kenya Navy Seals…
View attachment 3057913
Mama ngina chokoraas azing'amui kitu paleWatoto wa Mama Ngina 😀 😀 😀 😀
Hamna hujuma yoyote,ile ni kawaida hata kwa wenzetu na shida aikua kukatika kwa umeme ni zile cable za juu ndio zilizoleta shidandiyo maana wametuzimia umeme dadeki, the world has never seen this, 100% black, electric train full of black people in a 100% black man’s country, lazima watuhujumu tu, tuko mbele ya muda …
Hiv kwa nini watu wanafurahi sana mambo yakiharibika....hata waandishi wa habari wanapenda habari mbaya mbaya kama hizo. Sijaona hata mwandishi mmoja akifanya full tour ya hizo treni za umeme ukiachana na Private YouTubers kama Explore with Bertin, mkenya macharia nk...vyomba vya habari vikubwa hata kutumia Dk ishirini kufanya full coverage ya treni hizi utasearch hutapata zaidi ya kuona wanasiasa tu wanaongea kwa mdomo. Hawaonyeshi hata treni inafananaje
Hii roho ndo inazuia waafrica tusiendelee...umaskini ni mbaya sana aisee. Na kuundoa tunahitaji Exposure na akili kubwa kuanzia kwa Viongozi wa juu