Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Are Tanzanians wild animals? Why are they sleeping in the bush?Okay naona umefurahi eeh! Isave kabisa iwe inakusaidia kulala vizuri.
Are Tanzanians wild animals? Why are they sleeping in the bush?Okay naona umefurahi eeh! Isave kabisa iwe inakusaidia kulala vizuri.
Focus on the message, not the messenger 🤣🤣👇👇😂View attachment 3057615
Huyo hana hoja,ukimzidi kwenye hoja unakula block
Actually there’s no Stadium with seats in Tanganyika outside Dar.Hizo foldable seats hakuna Tanzania, wanakalia makopo ya plastic
Mgao wa stima sgr Dangagizaland umeanza 🤣🤣
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1818398137867784470?t=X0FCu9HAz_qI8qE0Hlj9cg&s=19View attachment 3057225
So hawa ndio walifanya watu wakalala porini?🤣🤣🤣😂👇👇
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1818541156785176899
Nilimaanisha kushirikishwa ili wafanye advance uses, tuache kuexport steel bali kila steel products itokee nyumbani.Hapa nadhani ndugu yangu unachanganaya, Steel Company inahusika na uzalishaji wa Steel na siyo uchimbaji and Extraction of Iron Ore
Huyo dada kipindi cha jk alikua miongoni mwa watoto wa wakubwa waliokua wanapewa kipaumbele,tena 2015 alikua mpiga kampeni wa magu akitegemea atawabeba,magu alipoingia ikawa tofauti tena akakifungia kitaasisi chake kilikua kinaitwa twaweza,toka hapo akawa mpingajiMaria Sarungi sometimes ni kama Hana kazi za kufanya.
Juu kasema ukweli? AMA train yenu haikukwama?🤣🤣🤣Maria Sarungi sometimes ni kama Hana kazi za kufanya.
Kwanza we kijana hiyo train hapo inaonekana something advanced kama jiji kabisa.
Ni haki yake kulia kama amekanyagwa,ni haki yake kukosea lakini too much is harmful na boringHuyo dada kipindi cha jk alikua miongoni mwa watoto wa wakubwa waliokua wanapewa kipaumbele,tena 2015 alikua mpiga kampeni wa magu akitegemea atawabeba,magu alipoingia ikawa tofauti tena akakifungia kitaasisi chake kilikua kinaitwa twaweza,toka hapo akawa mpingaji
SGR ya Kenya haijaikwama msituni for the 7 years of it’s operation, yenu hata mwezi haijaisha na tayari abiria wanalala msituni🤣🤣😂👇👇View attachment 3057631
Ni kawaida sana hata huko ulaya uwa inatokea,hakuna chombo kisichopata hitilafu,ni washamba na wachawi kama ww ndio mnaona kitu cha ajabu
Kitu advanced haikwami porini🤣🤣🤣😂👇👇Kwanza we kijana hiyo train hapo inaonekana something advanced kama jiji kabisa.
Ukute roho inakuuma mpaka unalinganisha sakafu like seriously.
Pole, ila SGR ipo ipo sana
Kukwama masaa mawili ndio kulala msituni!?SGR ya Kenya haijaikwama msituni for the 7 years of it’s operation, yenu hata mwezi haijaisha na tayari abiria wanalala msituni🤣🤣😂👇👇
View attachment 3057640
Watanzania ni wajinga bwana. Yani watu ni washamba hadi hawajui kutumia dual carriage ways🤣🤣🤣👇👇
View: https://x.com/Adventure_36/status/1818379668875362711
Ukiisoma Document inaeleza kuwa Iron ore itazalishwa 1 Million tone na itasaidia viwanda vya ndania. Inaeleza kwa sasa viwanda vinatumia recycled. Cost of $135.00 for iron ore per tone.Nilimaanisha kushirikishwa ili wafanye advance uses, tuache kuexport steel bali kila steel products itokee nyumbani.