REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,233
- 10,917
wale wa nyota ya JPM muda ndo huu ku-test their loyality!
Porojo za kujifariji tuu zile hamna kitu hapo.
Wenye Chana wameshaamua nani huyo wa kujaribu kunyanyua pua Kwa Samia? Na Kwa sababu zipi za msingi? Kuna Rais ametekeleza Ilani Kwa Ukubwa kumzidi Samia?
View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1742244882020720740?t=T8DTTeQlfJ81boks-89ZQw&s=19
Fomu ni 1 tuu na utaratibu huu kama kawaida ulianzishwa na Mwenyekiti Magufuli tuunge mkono 😆😆😆😆😆
Ni kweli CCM ina utaratibu na haitakuwa sahihi kuvuruga utaratibu huu wa kuto mchallenge incumbent president kwakua ita set a danderous precedent chamani. However, huyu hakuwa na awamu yeyote, alikuwa akitimiza matakwa tu ya kikatiba ya nchi ambapo kama tungelikuwa na katiba bora, angesimama kama interim president wakati nchi na vyama vya siasa vikijiandaa na uchaguzi wa rais.
Hivyo basi, hekima ni kuruhusu uchaguzi wa rais ndani ya chama kwa sababu kuu nyingi za msingi.
1. Samia hakuwa rais aliyechaguliwa na wananchi
2. Samia hakuwa chaguo la Magufuli kama makamu wa rais
3. Samia ni zao la Msoga gang kwaajili ya matakwa ya mtandao wa kifisadi.