Abiria hatakiwi kutembea umbali mrefu au kutumia njia nyingi za usafiri kufika final destination yake.
Sisi Tanzania tumedesign all new infrastructures to be close to each as best as we could.
ngoja nikupe Elimu wewe na Wakenya wenzako how we designed our infrastructures.
Nje ya kituo cha Dar SGR kuna, station ya magari ya mwendo kasi ambayo inaweza kumfikisha mtu sehemu yoyote ya Dar bila kubadili usafiri, mara atafute Nduthi, sijui matatu au nini.
Nje ya Airport ya Dar es Salaam kuna Station ya Mwendokasi inayofika Pugu nje ya Station ya SGR hadi Dodoma au Mwanza, eventually Congo, Rwanda, Burundi, same Station ya Mwendokasi inamfikisha mtu anyplace ya Dar hadi Stand ya Mabasi ya Magufuli.
Kama una exposure ya Nje ya Kenya umefika miji ya Ulaya, mfano London ndio Miundombinu inavoundwa...
Njooni mjifunze Tanzania acheni kununua vitu ambazo wont add any value