Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hawajanunua wagons hizo kutoka kwa memba wenzao wa NATO!?

Hiyo block si wanatakiwa kufanya biashara pamoja na kushirikiana!?
Wana hata cent ya kununua hata spare ya bulb? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mchina ndio baba ndio mama na terms za project hata cement ilikua must be imported from China πŸ˜…πŸ˜… usisahau workers walikua wanachapwa viboko na mchina wakichelewa kazini


View: https://x.com/witschinaafrica/status/619810053105786880?t=a8GTLZGrb39FVr1jvU8oMw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…