chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Mbona hata hizo 3 mpya bado wanaangaliana tu, achana na hawa farasiMsikilize huyo mkunya mwenzako kuanzia 40 secs anachosema,economy yetu watu awaangaliani kama ya huko kwenu wehu nyie
Mbona hata hizo 3 mpya bado wanaangaliana tu, achana na hawa farasiMsikilize huyo mkunya mwenzako kuanzia 40 secs anachosema,economy yetu watu awaangaliani kama ya huko kwenu wehu nyie
Huku ikitoboa tabaka la ozone na noise pollution kwa wingi 😅😅😅🚂🚂🚂
Tayari unajua na unaniuliza 😬utajitetea hii ni dining car
View attachment 3049171
😅😅😅😅😅😅😅😅 WatakulogaDubwana liko very intimidating spewing fire and soot while snorting like the dragon.
People have moved on to customer friendly trains nowadays.
Dereva wa hii train hawezi vaa suti maana kuna issues za diesel na soot lazima avae nguo za ufundi kama walati wa treni za steam kutupia makaa ya mawe kwenye kinu cha engine 🤣🤣🤣🤣
Unaongea Usichojua tena kwetu shades zipo kila classAt night windows are covered so that passengers aren’t disturbed by outside light. Kule kwa wachawi hakuna hata window curtains 😂😂🤣🤣
View attachment 3049162
ati SGR Tanzania haina shades? Nyie Kundustan ndo mmeweka sun shades sasa tena exclusive for VIP wagons! sisi mpaka economy class kuna shades na si mapazia!At night windows are covered so that passengers aren’t disturbed by outside light. Kule kwa wachawi hakuna hata window curtains 😂😂🤣🤣
View attachment 3049162
Kunyan wanambwato haoMbona hata hizo 3 mpya bado wanaangaliana tu, achana na hawa farasi View attachment 3049170
LA medieval kama hiliMost luxurious train in Africa, rovos, speed maximum ni 60kph. Inatembea kutoka Pretoria mpaka Cape Town. Cheapest tickets ni R37500View attachment 3049176View attachment 3049174View attachment 3049175
Hii ni account yako X? 😅😅😅Hao ni watanzania wenzako. Watafute uwapige 😂😂😂🤣🤣👇👇👇
View attachment 3049152
View attachment 3049153
🤭🤭🍆🍆🍆🍆🍆Mpini ushaingia.
😂😂😂😂😂😂😂AISEE hiyo ni operational speed sio maximum speed.Actually ni 160kph maximum View attachment 3049135
Nginjanginja 😂😂😂😂😂treni inatikisika kama nini!?
Vioo tinted kwa kiasi chake curtains za nini!?At night windows are covered so that passengers aren’t disturbed by outside light. Kule kwa wachawi hakuna hata window curtains 😂😂🤣🤣
View attachment 3049162