Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚AISEE hiyo ni operational speed sio maximum speed.
Hivi umesahau kama ile ya kwanza mlisema hivi hivi!?
Tupo hapa
Maximum speed ni 165km/hπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

IMG_0387.png
 
The skyscrapers keep on coming.

Twin towers of 30 floors each are coming next to GTC. The cluster will be something enjoy.

Render


Image



Image


Excavation ongoing.
Image

I

Image



Image



Image
 
Hawa Wachina mi sina imani nao, na sidhani kama steshen wanazojenga zitakuwa na viwango bora kama za Yapi Markez.
Usimamizi wa consultant na TRC ndio utategemea tupate vituo vya aina gani sababu specifications za mradi ni moja only design zinaweza tofautiaina kwendana na taste ya mkandarasi lakini in terms of specifications, quantitations na standards zitakua bora kama consultant na TRC watafanya kazi yao kwa umakini.
 
Most luxurious train in Africa, rovos, speed maximum ni 60kph. Inatembea kutoka Pretoria mpaka Cape Town. Cheapest tickets ni R37500View attachment 3049176View attachment 3049174View attachment 3049175
Pretoria To Dar es Salaam

View: https://youtu.be/YHwW1Yc8mCE?si=VjaB8wIWHvHsIfXp


RVR-Map-ALL-ROUTES-2024_2.png



RVR-Map-DAR-1024x1024.jpg
 
Hapa hakuna kunyeshewa kama huko kwa wachawiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Kenya
View attachment 3048886

Vs
Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 3048909
Steshen yenu ina mapungufu mengi. Mtu anapanda juu na exkaleta ama lift na mizigo kwajili ya boarding then ianingia kwenye boarding bridge halafu anashuka ngazi na mizigo yake kibao πŸ™„ πŸ™„
 
Back
Top Bottom