Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mufike 170kph alafu time bado iwe 3.5hrs 😂😂😂😂
Morogoro to Dar es Salaam tunatembea kwa 170.
Au unabisha tupige mahesabu!?
Piga mahesabu kilometa 300 unatembea kwa 90 minutes huku ukisimama vituo vinne katikati.
 
Msikilize huyo mkunya mwenzako kuanzia 40 secs anachosema,economy yetu watu awaangaliani kama ya huko kwenu wehu nyie
Karne hii bado watu wanaangaliana for 4hrs 😬😬
bed792b205958278e9add96a1b20f869b189aa1f.jpeg
 
Mwenzako kasema treni yenu ni faster than ours, she is claiming treni yenu ni 200km/hr 😂😂 haya nakugeuzia swali , treni inayokimbia speed hiyo then itumie 6 hours kufika mombasa!? 😂😂
speed hizo zilishuhudiwa wakati wa trials, so our trains are faster.
 
Nionyeshe siku mmefika Mombasa chini ya saa 7 na hili dubwana 🚂🚂🚂😅😅
Dubwana liko very intimidating spewing fire and soot while snorting like the dragon.
People have moved on to customer friendly trains nowadays.
Dereva wa hii train hawezi vaa suti maana kuna issues za diesel na soot lazima avae nguo za ufundi kama walati wa treni za steam kutupia makaa ya mawe kwenye kinu cha engine 🤣🤣🤣🤣
 
Poleee toto poleeee.
EMU zetu ni 200.
Na sasa route ikishazoeleka tunakimbia na speed hadi ya 185kmph kupelekwa Dodoma.
Unalia ukiwa wapi?😂😂😂

Your EMU can’t even reach 180km/h😂😂🤣🤣👇👇
IMG_0387.png
 
speed hizo zilishuhudiwa wakati wa trials, so our trains are faster.
Trials gani!?.ilhali speed kubwa mloenda wakati wa trials ni 140kmph.
Mkajitaaapaaaa😂😂😂😂
Kumbe wahuni tukawa twawachora tu AISEE😂😂😂😂
 
Hata hivi ya kwanza mlisema hivyo hivyo..hiyo 165 ni operating speed sio maximum speed.
🤭🤭🍆😂😂Bado hamjasema.
Operating speed is 160km/h. Maximum Speed is 165km/h😂😂😂🤣🤣👇👇
1721659488866.png

IMG_0388.jpeg
 
Back
Top Bottom