Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama ni kama anarudi kwenye njia ya Magufuli,muda utaongea tu.
20240722_220833.jpg
20240722_182151.jpg
 
Mama ni kama anarudi kwenye njia ya Magufuli,muda utaongea tu.
View attachment 3049471View attachment 3049473
Aliingia na ushamba wa madaraka na mihemko, hata kwa wakenya alienda kuongea maneno ya kipumbavu kweli kuhusu Magufuli ila siku hizi baada ya kuona rangi zao halisi naona anawapiga vijembe live live na hata NSSF kwenda kujenga twin towers Kunyaland ni 1 ya kitu kimemfanya amuondoe January (not sure though) lakini angekua Magufuli kafanya hivi wakundustan wangepiga kelele JPM anamfukuza waziri kisa anajenga jengo refu Nairobi
 
You're making too much noise about a building no Kenyan cares about. There are too many tall buildings under construction in Nairobi your one tower is hardly noticeable.
 
Back
Top Bottom