Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Wale abiria wakati wa uzinduzi wasikutie ujasiri, mbwembwe zikitulia njoo tulinganishe.๐๐๐๐๐๐Huna hoja wewe.
Wale abiria wakati wa uzinduzi wasikutie ujasiri, mbwembwe zikitulia njoo tulinganishe.๐๐๐๐๐๐Huna hoja wewe.
4.5hrsTuambia kumbe hii treni inatumia masaa mangapi kufika mombasa? ๐๐๐ usihangaike na hizo picha.. leta ratiba ya hii treni.
Una wazimu wewe hizo 4 coaches ndio zitupandishe hasira? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHasira imekupanda kweli kweli after kuona new Kenyan coaches๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Maximum speed yenye hamuifikii? ๐๐๐ kila kitu on paper nyie wapumbavu. Tueleze hiyo treni inachukua masaa mangapi kifika mombasa vile? ๐๐Kusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.๐๐
Sgr yao na trains zao ni kama yale malori ya kichina hapo mwanzo yalikuwa yanavunja madereva migongo ๐คฃ๐คฃ๐คฃMlitakiwa muwe na hizo coaches all classes sababu masaa 7 ๐๐๐naislum to mombasa sitting upright lazima spinal cord ihame ๐๐๐
Ukipata schudule yoyote ya safari hapo kwenu inayosema huu upuuzi wako leta hapa nitoke JF saa hii ๐๐๐. Tunapigizana kelele kumbe ground ni hakuna kitu.4.5hrs
Akii we jamaa ni matako๐๐๐๐๐๐๐๐.Kusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.๐๐
Mimi nina first hand experience sio mambo ya kusoma.Ukipata schudule yoyote ya safari hapo kwenu inayosema huu upuuzi wako leta hapa nitoke JF saa hii ๐๐๐. Tunapigizana kelele kumbe ground ni hakuna kitu.
Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.Una wazimu wewe hizo 4 coaches ndio zitupandishe hasira? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwenye interior design mchina bado sana kwakweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMbuzi analamika๐๐๐๐คฃ๐คฃ.
New economy Class Coach. Hapa hakuna kuangaliana kama kondoo๐คฃ๐คฃ
View attachment 3049008
Mchina bado au kawapa wanachostahili!?Kwenye interior design mchina bado sana kwakweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kweli mzee ๐ฌ๐ฌ๐ฌKwenye interior design mchina bado sana kwakweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tena sio 80km/h?๐๐๐.Akii we jamaa ni matako๐๐๐๐๐๐๐๐.
Nishakujua shida yako kubishana.
Reli yenu ni joint welded inawezaje kuruhusu kasi!?
Diesel train huwa inachelea kwenye Change of K.E energy unawezaje kufananisha na ya umeme!?
Binti maxi speed ni 140kmph.
Msifosi mengine.
Poleni sana. Nawahurumia sana namna Mama Mgina anavyowatesa #RUTOMUSTGO ๐๐๐๐Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu ๐๐๐
Siku mkitembea kwa speed tunayotembea huwenda tukaongea lugha moja.Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu ๐๐๐
Lugha gani tunaongea yet Kenyan trains are faster than those refurbished trains in Tz.Siku mkitembea kwa speed tunayotembea huwenda tukaongea lugha moja.
Wivu utakuua mngese wwBullet train yenye inashindwa speed na trains za diesel?๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hizo za first class ziko 4 tuu kati ya coaches mpya mlizo order.Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu ๐๐๐
๐๐๐ nakunya hapa hadi kwetu Tanga.Mimi nina first hand experience sio mambo ya kusoma.