Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Sio 6 tena 😬😬And still takes 7 hours 🥺
Sio 6 tena 😬😬And still takes 7 hours 🥺
Umesikia hii treni ni kama ma3 unategea barabarani ili ije.....kiweni na akili.....hii kitu ni scheduled. Ila siwezi walaumu. Nawaonea huruma tu.Na tukisema wanaona vibaya. Hapa mvua ikianza kunyesha wote wananyeshewa 😂😂🤣🤣
View attachment 3048939
Express ndio 6 na 49 minutes 🚂🚂🥺Sio 6 tena 😬😬
Kwahivyo schedule itaendana na weather, wakati wa mvua abiria wanasubiri ipuse ndio wapande/washuke😬Umesikia hii treni ni kama ma3 unategea barabarani ili ije.....kiweni na akili.....hii kitu ni scheduled. Ila siwezi walaumu. Nawaonea huruma tu.
Kama ulaya vile 🤣🤣🤣Na tukisema wanaona vibaya. Hapa mvua ikianza kunyesha wote wananyeshewa 😂😂🤣🤣
View attachment 3048939
Mbona Ichoboy amesema 4hrs 50minExpress ndio 6 na 49 minutes 🚂🚂🥺
Kasahau, bila 6 kwenda juu hakuna usafiri wa train Kunyaland, from regular travelers experienceMbona Ichoboy amesema 4hrs 50min
Hawa ni wa kupuuzwa hakuna haja ya kupoteza muda kujadiliana nao kwenye suala la SGR and its trains.Hivi wewe kwa akili zako unaweza ku compare SGR ya Kenya vs Tanzania? Acheni uchale.
Kasahau vipi na kaja na evidence 😃Kasahau, bila 6 kwenda juu hakuna usafiri wa train Kunyaland, from regular travelers experience
Ingekua ni rahisi kutupuuza usingelikuwa hapa 😬Hawa ni wa kupuuzwa hakuna haja ya kupoteza muda kujadiliana nao kwenye suala la SGR and its trains.
Ulaya abiria hawanyeshewi😂😂.Kama ulaya vile 🤣🤣🤣
Nipo hapa kufurahia futuhi zenu. Eti 80kph train travels faster than 160kph train wewe huoni hii ni classic futuhi 🤣🤣🤣Ingekua ni rahisi kutupuuza usingelikuwa hapa 😬
MGR 😂😂😂😂😂😂
Endelea kuumia. Hii hapa ilikuwa 120km/h na haikuanguka😂😂😂.
Weka hata 20kph moyo utulie 😬😬😬Nipo hapa kufurahia futuhi zenu. Eti 80kph train travels faster than 160kph train wewe huoni hii ni classic futuhi 🤣🤣🤣
Majamaa wako very desperate 😂😂🤣MGR 😂😂😂😂😂😂
Wameumia vibaya sana usiwaone hivi 😬😬😬Majamaa wako very desperate 😂😂🤣
Ni mwingi Hadi unamwagika , Wakundustan mnatamani tubadilishane Samia na Ruto Gen Z 😂😂👇👇Chawa wa madha mwambie anaupiga mwingi 😎
Hiko kituo kidogo ulitaka kijengwaje?This time mtatamani mkufe😂😂
Kenyan intermediary SGR Station
View attachment 3049017
View attachment 3049018
View attachment 3049019
Vs Tanzanian SGR Cowsheds😂😂👇👇
View attachment 3049021