Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kwani ya Mtito Andei imejengwa aje?😂😂😂Hiko kituo kidogo ulitaka kijengwaje?
Build something appealing, not those toilets mmejenga Soga na Pugu😂😂
Kwani ya Mtito Andei imejengwa aje?😂😂😂Hiko kituo kidogo ulitaka kijengwaje?
Treni yenu imeandikwa max speed.Hata hii Hiace pia naona hapa imeandikwa 80km/h. Does it mean it can’t go beyond 80km/h?😂😂😂
View attachment 3049038
Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondoo😂😂😂Treni yenu imeandikwa max speed.
Hiyo imeandikwa speed inayotakiwa kwenda mwisho ni 80kph
Hizo alama nyekundu zinaashiria nini!?Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondoo😂😂😂
View attachment 3049074
Hii naitunza kwa matumizi ya baadae 😀 😀 😀
Mtunze na mumeo uwache ukiranga.Hii naitunza kwa matumizi ya baadae 😀 😀 😀
Sisi tunajenga kiuhitaji.Kwani ya Mtito Andei imejengwa aje?😂😂😂
Build something appealing, not those toilets mmejenga Soga na Pugu😂😂
So umeshindwa kujibu how the train reached 120km/h when it’s maximum speed is 80km/h?😂😂😂Hizo alama nyekundu zinaashiria nini!?
Mpaka leo hukunijibu hili swali
Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi wa SGR!?Mtunze na mumeo uwache ukiranga.
Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi?So umeshindwa kujibu how the train reached 120km/h when it’s maximum speed is 80km/h?😂😂😂
Unaezalia na hii pia😂😂👇👇
View attachment 3049079
Hata hii pia mlijenga kulinga na mahitaji, sindio?😂😂👇👇Sisi tunajenga kiuhitaji.
Jengo kubwa station ndogo inayo accomodate abiria wachache ya nini!?
Ndio maana mradi wenu ni white elephant pesa mingi hakuna la maana lililoakisiwa.
Umeachana na speed tena ?😂😂😂Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi?
Once ushamba ukiisha, tutalinganisha idadi ya abiria.Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi wa SGR!?
Hilo eneo nadhani kuna mtu alileta taarifa kuwa lishakarabatiwa.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kujichekesha namna hiyo?Tukupatie speakers upige nazo nduru? Najua unaumia 😂😂🤣🤣🤣
Kenyan SGR
View attachment 3049002
Vs
SGR ya mbuzi😂😂👇👇
View attachment 3049003
ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜‚😂😂😂Nibishane speed na wewe ni kupoteza muda.Umeachana na speed tena ?😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Huna hoja wewe.Once ushamba ukiisha, tutalinganisha idadi ya abiria.
Kusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.😂😂ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜‚😂😂😂Nibishane speed na wewe ni kupoteza muda.
Sisi tunasafiri chini ya masaa manne je ninyi mmewahi?
Endelea kuumia. Hii hapa ilikuwa 120km/h na haikuanguka😂😂😂.
What you are posting is MGR trains.
View attachment 3049064
Tuambia kumbe hii treni inatumia masaa mangapi kufika mombasa? 😂😂😂 usihangaike na hizo picha.. leta ratiba ya hii treni.Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondoo😂😂😂
View attachment 3049074