Wew kweli ni mpumbavu wewe, sasa kama graduates wanatoa consultations zenye they result to shody work done, then what does that mean? 😂😂😂
Miradi karibu yote Tz wanaoshika tofali ama zege ni 100% indigenous people, na mingi kati ya miradi yetu consultations wanafanya wa Tz wenyewe. (Ukitaka kuona miradi nitapost) na hatuangushi majumba wala infrastracture zingine.. hii inasema nini kichwani kwako?
Elimu yenu nu mbovu. 😂😂 kama kuna kitu mlituzidi nyie mbwa ni kujitangaza tu. You are nothing to us.
Labda mnatuzidi kukimbia tu. 😂😂😂 tena kwa sasa ndio kabisaa.