Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When it comes to football sport, the only thing that Kenyans brag over Tanzania is FIFA RANKING!

Fifa ranking yenyewe soon tunaenda kuwaacha..
Kenya current ranking: no. 108
Tanzania current ranking: no. 113 kutoka 130 hukooo kipindi kile
View attachment 3045659

See the progress chats for each country over 5 yrs👇
View attachment 3045661
Bro be specific MEN'S FIFA RANKING
 
Umewahi kuona wapi treni ya diesel ikiishinda treni ya umeme!?
Kasome transmission of kinetic energy kati ya diesel na electric ipi ina higher efficiency!?
Halafu uone utofauti wa ufanisi wa treni yenu na yetu.
Kwanza NINYI mmebugi sehemu mbili;
-Reli yenu ni joint welded hii hairuhusu ufanisi wa chombo kutembea kwa kasi,mkilazimisha mtatikisa tuk tuk hiyo mpaka muue watu kwa presha.
-Chombo chenu ufanisi wa kasi ni mdogo utake usitake.
Unampa Airtime kwenye speed mbona mjadala ulifungwa, yaani mtu anabishia wajezi wa reli, manufacturer wa vichwa vyao, unataka sisi tufanyeje?.
 
So Unataka kupinga kwamba Origi sio Mkenya?😂😂😂

Babake Origi anaitwa Mike Okoth Origi
Mamake anaitwa Linda Adhiambo

Tottenham is bigger than whatever Samatta played in EPL. Who even remembers Samatta in EPL. For Wanyama, he is among the best Holding Midfielders EPL has ever seen. Only comparable to Essien, Obi Mikel, Kante, Carrick, Matic, Kante, Makele and Viera.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenyan trains are faster than Tanzanian trains. Mbona unapingana na ukweli?
Onesha ushahidi wa treni ikitembea hata 150kmph.
Pia nimekuuliza bro hizo alama nyekundu maana yake hujanijibu.
Ukiambiwa wewe uchague kati ya treni yetu na yenu kwaajili ya safari utatumia ipi!?
Tena pasi na kusahau treni zenu zinatikisika hazina comfortability.
Treni yetu haina mtikisiko ni full comfortability.
Tunabishana bure tu mkuu.
 
So Unataka kupinga kwamba Origi sio Mkenya?😂😂😂

Babake Origi anaitwa Mike Okoth Origi
Mamake anaitwa Linda Adhiambo

Tottenham is bigger than whatever Samatta played in EPL. Who even remembers Samatta in EPL. For Wanyama, he is among the best Holding Midfielders EPL has ever seen. Only comparable to Essien, Obi Mikel, Kante, Carrick, Matic, Kante, Makele and Viera.
Eeh kama ni mkenya mbona sijawahi muona Harambee Stars? Namuona Belgium National Team.

Hiyo Bold Leta Source tafadhali. Wazee wa Comparing the Incomparable kama kawa.
 
After all the noise watanzania were making here. It’s now clear that Kenyan trains are better than Tanzanian trains in everything from speed to interior appeal.

Interior of Kenyan trains.

1721317962029-jpeg.3045684

View attachment 3045699
View attachment 3045726
joka limevuliwa chupi chafu 😬
 
Unampa Airtime kwenye speed mbona mjadala ulifungwa, yaani mtu anabishia wajezi wa reli, manufacturer wa vichwa vyao, unataka sisi tufanyeje?.
Nimemuuliza hapa zile red marks kwenye speed kuanzia 160 kwenda 200 zinaashiria nini hajibu.
Vitu vingine AISEE tusiwe twabishana viko wazi.
Mbona hata Mie nikiona nimekosea jambo ninatoroka ama ninasalimu amri!?
 
Origi is a Kenyan whether you like it or not😂😂.
Obama is Kenyan
Mount Kilimanjaro upo Kenya
Yanga ni Kenyan's top Club
Diamond ni Mkenya

As if anasaidia Kenyan football ambayo ndio ipo kwa mjadala hapa? Mpaka uazime mtu wa nje ili kuleta kwenye mjadala si ushashindwa.
 
Unforgettable memory ya Nyoko, kuna hata sahani au kombe la mbuzi.

Alafu unalinganisha na miamba.

Mpigie McDonald Mariga kelele sio huyo Wanyama.
Miamba gani unaongelea?😂😂😂

Samatta ama?😂😂😂
IMG_0370.png
 
Back
Top Bottom