Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Source of information ni bongolala ambaye hajawai kanyaga Kenya kama wewe tu na amekiri mwenyewe. 🤣 🤣 🤣

View: https://twitter.com/priscamarandu/status/1813485375836324203
Meanwhile hali halisia ndio hii hapa.🤣🤣🤣
Screenshot 2024-07-09 115309.png


Screenshot 2024-07-13 201807.png

Screenshot 2024-07-13 201959.png
 
Hatimae Mwijaku WA Kenya amekiri 😂😂👇👇

View attachment 3044893
Nilichogundua huyu kasema hivi lakini watanzania wakimsikia watamchukulia poa au hata wengine kumponda Ila ingekuwa vice versa, hiyo clip ingetangazwa mpaka kwenye national broadcasting cooperation ya Kunyaland kila mtu angekua excited na ingetumika kama silaa kwa watanzania, kama ile ya babalevo mpaka leo wanaiona kama ni fresh kabisa kila mahali ipo na ina millions of views
 
Back
Top Bottom