ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,516
Hata hizo kelele zishaisha mana tuliwaambia bajeti yao ni ya uongo, wame prove this year.Kelele zilizobaki ni jidipi 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii 5imba tunakwenda kuidondosha na huku kama kule instagram, tunataka unapotaja Yanga ujue anga zetu ni ahly.
Naomba logo ya Gor jua kali Mahia tafadhali 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
You even know the lingo Jua Kali … you guys know every little detail about Kenya including our slang.. we definitely reside rent free in your brains…it shows here every time 🤣🤣Naomba logo ya Gor jua kali Mahia tafadhali 🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 3045002
unajua RAO hakumaliza chuo Ujerumani! Hana degree!Ni ujinga kuweka hii takataka Makamba, a school serial failure na very corrupt.
Simba ni lidude likuubwaaa sana kijana.Hii 5imba tunakwenda kuidondosha na huku kama kule instagram, tunataka unapotaja Yanga ujue anga zetu ni ahly.