Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua RAO hakumaliza chuo Ujerumani! Hana degree!
Thanks kwa taarifa, dah! Nilikuwa sijui hii ya kutomaliza. Najua alikuwa sumagod Tanzania na kuondoka kwenda masomoni East Germany akiwa na kama Mtanzania na passport ya Tanzania na alitua Egypt before kuelekea Germany. Hata Miguna Miguna pia alipitia Tanzania.

Tumesaidia sana hizi kenge.
 
I can see the Teargas gospel is being spread all over the World.

IMG_0368.jpeg
 
Thanks kwa taarifa, dah! Nilikuwa sijui hii ya kutomaliza. Najua alikuwa sumagod Tanzania na kuondoka kwenda masomoni East Germany akiwa na kama Mtanzania na passport ya Tanzania na alitua Egypt before kuelekea Germany. Hata Miguna Miguna pia alipitia Tanzania.

Tumesaidia sana hizi kenge.
sasa wacha wivu kwa Makamba! kufanya vibaya secondary si kufanya vibaya chuo!
 
Back
Top Bottom