Imagine best team in KenyaHawa ndio wanataka kupambana na miamba
View attachment 3038858
Siasa tu. Na sasa mji wote umevamiwa na bajaji hado main roads. Sijui nani anatoa vibali kufanya route kwenye main roads.hizi babaji na bodaboda ni kero kwa kweli
Na anakwambia haoni Kodi 🤣🤣🤣🤣Hivyo ndio vimeleta game changer kwenye Nchi hii👇👇
View: https://twitter.com/TRATanzania/status/1808786525653475627?t=NUavQXtE84vPRWGLD0eL3g&s=19
Kazi inaendelea kama hivi 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9MQwtAMDue/?igsh=N3huZGFnZzF0YjY3
🤣🤣🤣🤣🤣 Yani hatari mzee na Hasa kama huna mwanasheriaUsisahau pia unaweza kupwa katavi uliwe na boko
Kukarabati soko la zamani billion 6 aisee🙌😅😅
Ndugu usiwe na haraka. Mwezi wa 12 siyo mbali. Kila kitu kitakuwa okay.Nikiangalia mfumo wetu wa malipo wa brt sarakasi kibao wakati jirani zetu hapa rwanda mambo yamenyoka alafu ni jambo simpo sana ila sisi daah mpaka nahisi kuchefu chefu
View: https://youtu.be/HtvWKzPOYbk?si=Rk94BvmYO250ifv8
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wacha ufala leta picha tuone! Na ziwe land cruiser hardtop!
Nadhani kwasababu bado hakuna usafiri wa uhakika kwenda katikati ya jiji. Wameruhusu hivi ili kupunguza msongamano wa abiria kwenda mjini.hizi babaji na bodaboda ni kero kwa kweli
Sisi tunafeli wapi Kaka kwenye miundombinu wakat tuna vivutio Bora zaidi Africa ..Kaka Okavango delta unaijua?? Halafu kwenye miundombinu ya camping wako mbali sana.
Kitu wameongoza cha maana ni yellow card😅Hawa ndio wanataka kupambana na miamba
View attachment 3038858
Sisi tulienda Saudia kutembea 😅😅😅😅 na tumetembea karibu dunia nzima
Roads toward MkapaN
Ngong road is the highway to AFCON headquarters, Talanta.. now do the comparison with the road towards Mkapa stadium and the surroundings….. make sure you don’t have any liquid in your mouth before checking it out 😂😂
Unataka view from the air.. the one that Tv viewers will see during AFCON… unfortunately CCM can’t control foreign TV companies beaming the matches or doing documentary .. unless you declare yourselves full Chinese way…. Let’s face the facts.. the aerial view will be shameful…🥲🥲😝😅Roads toward Mkapa
1. MANDELA ROAD dual carriageway with service roads both sides
2.KILWA ROAD 6 lane road plus service road both sides(2/6 BRT)
3.KAWAWA ROAD with BRT as well
Now compare Ngong road with any of those 3 roads.
Kuhusu surrounding Mkapa stadium imezungukwa na Kambi ya Jeshi,Teacher's college,Kambi ya Jeshi ingine na Chang'ombe. area.
Through Uswaziland..😄😄Mkapa Stadium is reachable by BRT and city train 😁
Njaa kaka, huwezi kucheza mpira mzuri ukiwa na njaa, angalia hata logo ya timu imekaa kinjaa njaa.Hawa ndio wanataka kupambana na miamba
View attachment 3038858
Hujui unachoongea. Mkopo hosted AFL watched all over Africa, the so called view is in your head.Unataka view from the air.. the one that Tv viewers will see during AFCON… unfortunately CCM can’t control foreign TV companies beaming the matches or doing documentary .. unless you declare yourselves full Chinese way…. Let’s face the facts.. the aerial view will be shameful…🥲🥲😝😅
Achana na hizi ng'ombe zitashangaa miradi ya BRT ikiisha! Ule mradi wa kujenga hoteli viwanja vya sabasaba uliishia wapi? Maana ungesaidia sana! Kama si Magufuli hii sehemu ingekuwa na hoteli ya at least nyota nne!Roads toward Mkapa
1. MANDELA ROAD dual carriageway with service roads both sides
2.KILWA ROAD 6 lane road plus service road both sides(2/6 BRT)
3.KAWAWA ROAD with BRT as well
Now compare Ngong road with any of those 3 roads.
Kuhusu surrounding Mkapa stadium imezungukwa na Kambi ya Jeshi,Teacher's college,Kambi ya Jeshi ingine na Chang'ombe. area.