The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Treni yenu ikifika japo 80kph vyuma vinapiga kelele, haitowezekana diesel SGR ikazidi electric SGR ishi na hilo kwanza mengine yatafuataInaweza fika hata 200kph, ingia youtube tafuta video jamaa anakwenda na 120 lakini bado mtambo wa diesel unamuacha.
Hizo ni unofficial speed, wenzako wamekubali 160 wewe unahisi ukikubali basi itakuwa mmeshindwa,endelea kusukuma agenda 😂😂
Poor photoshop 😂😂😂Tumalizie na hii 👇👇View attachment 3033274
SawaTuko hapa muda utaongea.
Wala hatusemi sana.
Jirani kadanganywa kapeleka police eti ni moja ya ajira sasa tusubiri dolari toka Haiti 🇭🇹Haiti kubaya tuache utani.
Yani watu wa kupelekwa huko ni kama Hamas,Taliban au Houthi.
Another deep fake shenanigans… pay attention… don’t believe everything you see on the internet….😄😄Tumalizie na hii 👇👇View attachment 3033274
An ignorant old man still stuck in the past… I bet he doesn’t even know the definition of Gen Z … mostly he would respond… ni Jeshi la Gachagua … these young people have totally changed the trajectory of Kenyan politics… thanks to their political enlightenment… they are tribe less….
amewapa 24 hours all Mumbis mtoke Nakuru!An ignorant old man still stuck in the past… I bet he doesn’t even know the definition of Gen Z … mostly he would respond… ni Jeshi la Gachagua … these young people have totally changed the trajectory of Kenyan politics… thanks to their political enlightenment… they are tribe less….
😂😂😂😂Kitu wanaomba sahii ni unga na ruto must go😂
Umekusudia nini mkuu!?
Twende tu COSAFA tuongeze viwango vya soka. CECAFA nchi football inaunafuu ni TZ tu.Sie pia tuko SADC,sio malawi tu hata zambia na zimbabwe zilikuwepo cecafa,kilichotubakisha sisi cecafa ni siasa tu,tena kipindi cha malinzi ilibaki kidogo tu tuhamie cecafa na znz iwe member wa fifa,jamaa wakamuwahi malinzi kwa kumpa kesi,huyu msomali wa sasa hivi ndio hataki hata kukubali mialiko ya huko cosafa
hii ndo miradi ya upigaji, hatutaki ujinga, stesheni sio sehemu ya kutoa hukumu, wakanunue mabasi
Ccm hawatakiTwende tu COSAFA tuongeze viwango vya soka. CECAFA nchi football inaunafuu ni TZ tu.
Afadhali kaka, Tanzania tumebarikiwa viongozi 3 waliokua wanaformulate plan kuipeleka nchi mbali NYERERE (AZIMIO LA ARUSHA), MKAPA (Tanzania Development Vision 2025), MAGUFULI (Magufulification) Matumizi sahihi ya Pesa za ndani. Kiongozi nayeweza mlink na magufuli kwenye infrastructure miracle ni JOKO WIDODO wa Indonesia.RRONDO ulipodokezea Ikarus umenikumbusha misingi ya maendeleo Nyerere aliyokuwa ameiweka. Isingekuwa predatory measures na sabotage za IMF, Tanzania tungekuwa mbali sana sasa. Ona Kenya wanavyokiona cha mtema kuni sasa? IMF siyo mjomba.