Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aloo Wakenya washamba sana, yn hizi huduma anazoongelea hapa huyu mshamba sikumbuki hata lini zilianzishwa hapa Tanzania mana ni kitambo sn. Washamba sana nyinyi wakenya.
 
Hivi huwa mnafuatilia mjadala muelewe kinachoongelewa ama mnaangukia tu na ushindani wa kijinga? Hamuoni aibu RRONDO aliyekuwa anajibiwa amenyamaza ni ninyi bado mnapiga kelele eti 'kwetu pia zipo'?
Hawa nilishaachoka nao. Yani Mimi nimepost kuelezea RRONDO jinsi mobile money ilivyofanya wengi wawe na bank accounts hapa Kenya, wamerespond kama watu kumi hivi kunieleza jinsi pia wao walivyo na hizo services. Hadi mwengine amepiga screenshots. Ni kama uelezee mtu jinsi kuwa na gari kumefanya maisha yako yawe raisi, yeye anajibu kwa fujo eti, 'Hilo gari pia Mimi Niko nalo, usidhani ni wewe pekee uliye na gari.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Inferiority complex ni kitu kibaya sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida yako saa zingine huwa unapost maelezo mengi kwa kiingereza na unajua hawa majamaa kiingereza kwao ni kama maji na mafuta.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida yako saa zingine huwa unapost maelezo mengi kwa kiingereza na unajua hawa majamaa kiingereza kwao ni kama maji na mafuta.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tambo za kizamani sn hizi dada janerose, wakenya wenzio wanajisikia hata aibu kuongea hivi kwa jinsi tunavyozidi kuwapiga gepu la maendeleo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Shida yako saa zingine huwa unapost maelezo mengi kwa kiingereza na unajua hawa majamaa kiingereza kwao ni kama maji na mafuta.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vipi leo hamjaenda kuandamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…