Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi vs kariakoo on trend.
upload_2017-12-7_10-26-37.png
 
Na nikakubalia hilo kosa bila tashwishi hapa

Lakini tofauti kati ya picha hizi mbili hakuna, zote ni edited versions of towers being built before roads are built ndio maana nikasema "my statement still stands"

E.g
filtered
548812e949e6ca14146824961c3c4cf3.jpg


unfiltered but farther down the street
ny2.jpg
Hebu muoneni huyu mkenya alivokua nduza yani picha ya juu TPA haipo na picha ya chini BRT haipo yani ni sehemu mbili tofaut na ukizingatia picha ya pili ujenzi unaendelea, naona mkenya kachanganya madesa
😀😀😀😀
 
Zinakuza uchumi... Hii ndio maana unashangaa ni nini wakenya wanafanya ndipo wawe mbele hivi... Ni mambo kama hayo, kukuza biashara za kibinafsi na za serikali hivi kwamba imepanuka mpaka wengine wamefugua branches hadi karibu na unapoishi...
Ndio useme kama hazipo uchumi hauwezi kukua!!!
 
Tag me when any City in East Africa look this friendly to Pedestrians.


41f483e7e82bdbf6e4045ae099306898.jpg
It's funny how you guys completely ignored this

Aga Khan
14.jpg



Another walk outside Cooperative bank
1024px-Co-operative_Bank_of_Kenya.jpg


Ama hivi sasa in Dar streets vs Kisumu streets
 
Ukitaka kujua wakenya tumeanza kuwapiga bao kila kona. Pitia hizi hapa awards ngapi wakenya wanashindania na ngapi watanzania.
Anza na hii hapa:

upload_2017-12-7_10-40-29.png


Place Your Vote
 
Na nikakubalia hilo kosa bila tashwishi hapa

Lakini tofauti kati ya picha hizi mbili hakuna, zote ni edited versions of towers being built before roads are built ndio maana nikasema "my statement still stands"

E.g
filtered
548812e949e6ca14146824961c3c4cf3.jpg


unfiltered but farther down the street
ny2.jpg
Eti nawewe ni kati ya wapiga kura.
 
Exactly what I mean by ghorofa yajengwa kabla ya barabara.
Barabara ipi unaongelea wewe? mbona hueleweki? Unaongelea BRT? Kama unaongelea BRT huko TPA haipiti.
 
nairobi vs kariakoo:
kariakoo not only the largest and busiest market place in EA,it's also very famous.

even a search engine like google knows what is kariakoo.

this keyword "kariakoo" comes with a lot related information once you search it on google.

5bd85da0800b669bff9243555bdc5f8c.jpg
942b267f49249f19780e85b5e1ce6e7b.jpg
4e88e33917ea1b9cd7a039799c5fcecd.jpg
de5979fdf8ed3421bc010e3ca080718a.jpg
615a0ae64447b7b8bf743a9ecfb3b83d.jpg
b2aa95a8a425e0372d1c07ae3a1d9172.jpg
f7d42f6d15712ceb037bff6ca301f122.jpg
 
Back
Top Bottom