mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Mombasa Haina flag yake bro ni Mali yah kenyahaya msikieni mkenya leo kaamua kufungua, sasa nakuuliza swali dogo unajua kwanini kenya inaitwa "republic government of kenya", jibu lake ni kua mombasa ni nchi na imejiunga na nchi ya kenya, kama vile tanganyika kujiunga na zanzibae ikapatikana tanzania , history ilikua mwiba kwako😀😀😀😀😀😀