I am still waiting for one of you to list for me at least 5 supermarket chains in TzHii ndio inaitwa idiotic irony... You say something only to prove yourself wrong the same minute...
Anyways I have a question, why does the mall in moshi house UCHUMI SUPERMARKET? And please list for me any 5 popular Tanzanian Supermarket chains like Uchumi or Tuskys... Ukipata nitag
Chunga hatua zako,usichanganyikiwe.Tagged the wrong pic above, but still my statement stands
Hio picha nimekuwekea hapo juu ya Dar unaona nini? Umoja Wa vijana au PSPF?![]()
![]()
![]()
povu in flood.
Hapo umeona psppf au MNF katika ile picha???![]()
![]()
au unadhani BRT iko posta pekee,haki ya nani mtaipata sawasawa.
Eti edited,tumeedit nini???
Nazo ni kivutio za utalii ama!!!I am still waiting for one of you to list for me at least 5 supermarket chains in Tz
Basi ume quote wrong post.maana ulikuwa ukibishana na mimi kuhusu picha mbili.Hio picha nimekuwekea hapo juu ya Dar unaona nini? Umoja Wa vijana au PSPF?
Kama haujui maana ya esited/filtered/Photoshoped pics, basi sina LA kukuambia
Ama picha za JF have different displays in Tz compared to Kenya?
Wadhani in Ndinda kachukua hio picha aka edit, you funnyChunga hatua zako,usichanganyikiwe.
Hata hiyo ikiletwa normal bila kupaushwa.utapata kifafa.ndinda amefanya kukupunguzia mshituko ameichafua makusudi.
Nawewe edit ifanane nayake.Wadhani in Ndinda kachukua hio picha aka edit, you funny
Ndio hii unedited
![]()
I'll give you examples of Kenyan owned.I am still waiting for one of you to list for me at least 5 supermarket chains in Tz

Kwa akili yako tu hapo BRT haipo na still unaona pspf na TPA zote ujenzi unaendelea usilazmishe bata awe kukuWadhani in Ndinda kachukua hio picha aka edit, you funny
Ndio hii unedited
![]()

Na nikakubalia hilo kosa bila tashwishi hapaBasi ume quote wrong post.maana ulikuwa ukibishana na mimi kuhusu picha mbili.
Kariakoo barabara na watembea kwa miguu.
Nakuru parking na watembea kwa miguu.
Lakini tofauti kati ya picha hizi mbili hakuna, zote ni edited versions of towers being built before roads are built ndio maana nikasema "my statement still stands"Tagged the wrong pic above, but still my statement stands
Hawaamini wanachokiona leo😀😀😀
Maana kila picha wakitazama wanahisi kama newyork

Bro ukubwa wa kariakoo hauna mfano wake east and central africa hakuna haja ya kubishana , na ndio maana kariakoo is the biggest and busiest business center in east an central africa, kwanini uzunguke huku na kule kwanza pambana na hali yako😀😀😀

Zinakuza uchumi... Hii ndio maana unashangaa ni nini wakenya wanafanya ndipo wawe mbele hivi... Ni mambo kama hayo, kukuza biashara za kibinafsi na za serikali hivi kwamba imepanuka mpaka wengine wamefugua branches hadi karibu na unapoishi...Nazo ni kivutio za utalii ama!!!
Your unfiltered streets are this funny?Hahahahahaha