mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Yeeees.You meant county?
Yeeees.You meant county?
Lakini wakenya embu kuweni serious.hivi hii nairobi ni ya kuweka ligi moja na dar kwa majengo haya manneA section of upperhill district Nairobi
View attachment 645619
.Uhuru releases Sh77bn for countiesHere is why your block of ugali could get smaller
Kenya yajitabiria kukumbwa na njaa kali 2018, kuliko mwaka 2017
"Tanznyanyans"Ooh my, poor Tanznyanyans... I am a designer too myself and I know a good design when I see it, but anyway don't bark too much... They designed it for clients who can afford it... Not you southerners... Kuleni tu kwa macho
Kwanza Embu inafaa kuandikwa hivi: HebuLakini wakenya embu kuweni serious.hivi hii nairobi ni ya kuweka ligi moja na dar kwa majengo haya manne![]()
.
Dude, wtf!"Tanznyanyans"
Are you Kenyan? Go back to Bangladesh. You aint an African
Inadfaa=inafaa.Kwanza Embu inadfaa kuandikwa hivi: Hebu
Pili, hapo ni upperhill pekee... One of the 4 CBD's which include ild CBD, Westlands and Kilimani minus Parklands, mombasa road, Highridge, Ngong' road, Lang'ata road, Lower Kabete, limuru road which houses village market anf two rivers..... etc
If you were no daft then you would be able to differentiate a typing error from a grammatical errorInadfaa=inafaa.
Kwani kuna majengo marefu kuzidi hayo mawili hapo???embu nionyeshe tafadhali.
If you were no daft then you would be able to differentiate a typing error from a grammatical error
mimi naona makosa ya kiuandishi.Yea you better retreat because i won't entertain your mediocrity. Lala sasa mkuu, huu sio wakati wa kulalamika sana![]()
mimi naona makosa ya kiuandishi.
Hii kiingereza yako peleka kachukulie mkopo KCB kama ni stock.
Wewe lala tu mkuu kama umechoka,mimi niko napiga picha dar sijamaliza toka asubuhi.Yea you better retreat because i won't entertain your mediocrity. Lala sasa mkuu, huu sio wakati wa kulalamika sana
wewe mshamba sana ...Mexico sells fruits and vegetables to USA and its no big deal.....pesa zetu pia mnahitaji ili kuinua mapato ya familia za Arusha .. what are neighbours for then......ama unapovuka tu povuniSiku napiga hii picha ya gari la Kenya likitokea mangola, Arusha kuchukua vitunguu nilijiuliza sana , ivi wa kenya ata kitunguu mmeshindwa kulima ni uvivu wa namna gani mko nao , Tanzania tutaendele kuwa spoon feed kenyans mpaka mpate akili ya kufanya kazi
View attachment 645302