Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Finance bill 2024 rejected, next is CCM
CCM ni lidude likubwaaa hivi duniani na ni chama kilichopikika haswa na kinachozingatia miongozo si rahisi kukitingisha kama KANU na vyama vyote kusini mwa Afrika vimepewa mafunzo na CCM juu ya Uongozi ndio maana bado vinatawala.
Pili CCM huenda na wakati wakisoma majira na wana act accordingly Nyerere set a solid foundation for CCM. Kiufupi ni unshakable.
 
At least now wakenya wameanza kujua kuwa viongozi wao waongo wanadanganya hadi economic figures ila wa huku JF bado wamelala usingizi wa pono.
Ni nyinyi pekee mnaoabudu viongozi wenu. Huku criticism huwa kila siku na haijaanza na hii finance bill.
 
Finance bill 2024 rejected, next is CCM
Hawa hata hawajui finance bill ni nini. Wameiskia mara ya kwanza na haya maandamano ya Kenya. Hawa wapo wapo tu kama vifaranga kiotani, kila waletewacho watafungua tu midomo kukibugia. 🤣 🤣 🤣 🤣
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom