Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo sio Nchi ni genge la wavuta bangi πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana inaitwa failed state
 
Nchi iko in disarray Gen Z wakikaza kidogo tuu wanachukua nchi.
 
Hawa nyangau wamekurupukia katiba ambayo hawaiwezi katiba kama hiyo inahitaji watu wawe civilized na sio makanjanja.
 
Utashangaa wanakuambia wana the best constitution in Africa hivi kama katiba ndio ingekua inawawajibisha na wanaiheshimu, wangekua wanafanya upopoma wa kiwango hicho kwenye nyakati nyeti na za hatari kama hivi, bunge kabisa la nchi linageuzwa danguro kisa kuna watu hawatekeleza their constitutional duties halafu wanakuambia wana katiba bora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona hiyo katiba haiwang'ati wezi walioinywa dollars billion 85 hazijulikani zilipo 😁😁
 
Kituko😁
 
The problems is wote ni wachafu. Sasa issue pale ni nani atakayemfunga paka kengere. Maana ni familia ya paka kila mmoja anandevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…