Acha maneno ya kanga hapa leta comparison ya public hospitals kenya na Tanzania tujionee wenyewe maneno ya kanga kaa nayo wewe.Wewe ndo uache upumbavu,
Wewe unavyoona maisha ya wakenya ni mazuri sana?? au ya Tanzania ni mazuri sana??.
Sasa kama hospital tuu ya serikali dawa hakuna unajisifu nini??
Hivi maisha wanayoishi WaTZ kwa asilimia kubwa unaona sawa??
Maisha wanayoishi walimu na wafanya kazi wa hospital wanaoshida na wagonjwa kwenye mawadini, maisha yao unaona sawa???
Kama mwanafunzi anafaulu darasa ya 7 kwenda form 1 hajui kusoma wala kuandika shida tuu, unaona sawa,?? na amefaulu kwenda form 1.??
Sasa kama bima ya afya dawa nyingi sana wametoa Sasa, afu unalipia mashabiki wa timu wakaangalie mpira wewe unaona sawa tuu.??
Kujielewa ndio kula msosi wa bunge 🤣🤣🤣Tunajielewa. Huko kwenu mna puppet ameuza bandari na bado mnampigia makofi.
Sweetie kwani wewe hujui Tz ndio anauzia WFP chakula na pia Tanzania inasambaza chakula kwa needy states kwa kushirikiana na WFP?Unashangilia mkitafuta chakula cha msaada?
Wewe ndo uache maneno ya kanga, mimi siringanishi TZ na kenya mimi kenya kenya sijawahi kufika. Sasa nitaanza kusema vitu vya kule , ninavyovijua ni vichache sana tuu.Acha maneno ya kanga hapa leta comparison ya public hospitals kenya na Tanzania tujionee wenyewe maneno ya kanga kaa nayo wewe.
😂😂😂😂😂😂😂Acha kuongelea treni zetu wewe nyangau wa kibera.
Wabongo mnajifanya mnaishi maisha mazuri east africa zaidi ya wengine wakati sisi huku shida tuu, kama wengine hao mnavyowasema 😂😂😂Acha kuongelea treni zetu wewe nyangau wa kibera.
Umeona eee, ishu ya kenya maisha magumu yapo tuu, kama huku TZ.Reborn Ktb Reborn tkd kupost mi article mirefu isio na kichwa wala miguu hakutazuia au kumaliza kinachoendelea nchini kwenu. Be civil.
Moderator kwanini mnalea huu upuuzi?
You are barking at the wrong tree.Umeona eee, ishu ya kenya maisha magumu yapo tuu, kama huku TZ.
Wewe unafikili kwetu hata leo serikali wakasema bei ya ya mafuta Lita 5000. Kwani wabongo si tutakubaliana tuu na hali.
Ndo maana wakenya hawajakubali mambo kama hayo.
Sasa kama shule tuu inajengwa Tsh 3 billion , afu ukiona daaa we achaaa.
Nazungumzia kwa upande wa bongo
Wewe nae ni yupi.? 🤣🤣🤣Wabongo mnajifanya mnaishi maisha mazuri east africa zaidi ya wengine wakati sisi huku shida tuu, kama wengine hao mnavyowasema 😂😂😂