chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
😂😂😂 Hizi clips huwa zinaanika chupi za wakundustan upenuni 😁😁Kenya bhn kuna vituko sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu angalia mazingira jinsi yalivyo kama kijijini aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
😂😂😂 Hizi clips huwa zinaanika chupi za wakundustan upenuni 😁😁Kenya bhn kuna vituko sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu angalia mazingira jinsi yalivyo kama kijijini aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ipite isipite bado Kunyaland ni bankrupted ni failed state alreadyFinance bill 2024 rejected, next is CCM
Shida ni kwamba kipindi wanajenga hawakuangalia kuhusu watu watapita wapi?Mkuu ulichongea ni fact sana.
Kivuko nyuma ya gongolamboto sokoni ni hiki ?
View attachment 3026591
View attachment 3026592
Sasa hiki kivuko mvua kikonyesha maji yanajaa hapo, hata kupita ni shida.
Ndo maana nilosema kule kwenye uzi wa SGR hawakufikilia kipindi wanajenga.
Afu hilo eneo nilipopiga picha watu wanavuka na kokoto zinatoka, ndipo eneo watu wanapita tangu hata reli haijaanza kujengwa. Ni eneo la moja kwa moja kuunganisha sehemu hizo mbili, sasa pale hakuna kalavati wameenda kuweka mbele yake kule, ambapo mtu anakuwa kama anazungula flani hivi.
Sasa kwa nini wasiweke hapo watu walipozoea kupita siku zote?
Na ndomaana watu wakawa wanaona kazi kuzunguka wakalazimisha kupita hapo hapo.
Tunakusubiri kwenye I'd yako ya siku zote ukimaliza Rudi kule plz😂😂😂😂😂Shida ni kwamba kipindi wanajenga hawakuangalia kuhusu watu watapita wapi?
Sio apo tu ni sehemu nyingi tuu, hata huko kokoto kutoka zipo sehemu zingine , mimi nimeona.
Afu vivuko havijaendana na watu, utakuta watu wamezoea kupita hapa kivuko wameweka kule.
Mwishowe kwa akili ya wabongo fensi zenyewe na waya , watatobao tuu upande huu na upande ule.
Kafie mbeleIpite isipite bado Kunyaland ni bankrupted ni failed state already
😂😂😂 aaaaa.Tunakusubiri kwenye I'd yako ya siku zote ukimaliza Rudi kule plz😂😂😂😂😂