Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umejiandaa kupambana na mimi au una beep?
Mimi sipambani na liboya kama wewe.., kazi yako humu kwa sasa ni kulia lia ukijaribu kuikomboa Dar.., so jaribu sana, Mombasa imewamaliza nguvu.., hehehe..,
 
Dar
1719317532339.jpg
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Takataka za Mombasa. Wenzako wanaandamana kule wewe huendi?
Tumeshafika Parliament tazama citizen TV breaking news, mbaya mbaya.., tumeamuwa liwe liwalo!!!🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪🔥🔥
 
Kenya kitaeleweka ujinga hatutaki.., procession from valley road heading to CBD..🔥🔥🔥🔥🔥
IMG-20240625-WA0038.jpg
 
CCM(Chama Cha Mafala) wakongwe., Wacha waendelee kukandamiza maboya., ni laana ya mababu hii yao 😂😂😂😂😂😂
Weka Mombasa kijana 🤣 🤣 🤣 Nikikupima Education level yako is very low. Kumbuka kutukana kwenye JF ni kosa. Account hii yako itafungiwa tena kama zile zingine zilizofungiwa.
 
Weka Mombasa kijana 🤣 🤣 🤣 Nikikupima Education level yako is very low. Kumbuka kutukana kwenye JF ni kosa. Account hii yako itafungiwa tena kama zile zingine zilizofungiwa.
Sisi sio waoga., waambie wafunge, naona nimekuumiza sana., we rule!!!!
1719311962403.jpg
 
We jamaa nikikuita mpumbavu utakataa.? Sasa picha uliyopost wewe inability ukweli kwamba hilo eneo ni hili kwasasa.? 👇View attachment 3025868View attachment 3025869View attachment 3025863View attachment 3025864View attachment 3025866wewe umeendelea kukaza fuvu eti ni propaganda 🤣🤣🤣 wewe ni zuzu haswaa...
Hizi sasa ndio Westlands ama UpperHill za Dar kando na hapa.,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂,.mko down sana!!!!
FB_IMG_1712869546335.jpg
 
We jamaa nikikuita mpumbavu utakataa.? Sasa picha uliyopost wewe inability ukweli kwamba hilo eneo ni hili kwasasa.? 👇View attachment 3025868View attachment 3025869View attachment 3025863View attachment 3025864View attachment 3025866wewe umeendelea kukaza fuvu eti ni propaganda 🤣🤣🤣 wewe ni zuzu haswaa...
Huwa mnaweka hii picha at this angle kuficha surroundings na ku mislead dunia, utadhani ni sehemu kubwa kama Westlands hivi, kumbe ni shopping center kando ya barabara.., hehehe
1719319545275.png

Westy ya Dar.., hehehehe.., jiji la CBD moja., sasa hii sio propaganda ni uhalisia...,
1719319619798.png
 
Huwa mnaweka hii picha at this angle kuficha surroundings na ku mislead dunia, utadhani ni sehemu kubwa kama Westlands hivi, kumbe ni shopping center kando ya barabara.., hehehe
View attachment 3025877
Westy ya Dar.., hehehehe.., jiji la CBD moja., sasa hii sii propaganda ni uhalisia...,
View attachment 3025881
So you choose to remain fool.? 🤣🤣🤣 surroundings hizi hapa, au umechagua kuzifumbia macho.? 👇
Screenshot_20240625_154314.jpg
Screenshot_20240625_154328.jpg
Screenshot_20240625_154455.jpg
Screenshot_20240625_154412.jpg
.. au wewe ni mzimu.? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom