Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa ni lipumbavu sana 🤣🤣🤣 hiyo Mombasa haiwezi toboa kwa Zanzibar hata kwa uchawi.
Na haina 5star hotel so far 😅😅😅😅 haiko modern iko vile vile miaka kwenda miaka kurudi nyumba za tope kila sehemu, harufu ya umaskini kila Kona, ukienda pale mwembe tayar utasema umeingia kwenye kambi ya wakimbizi
 
Hizi ni nini mzee.? 🤣🤣🤣🤣 the summary is here 👇View attachment 3025740View attachment 3025741unadhani unaweza badilisha kibachoonekana hapo juu kwa maneno.? 🤣🤣🤣
Nionyeshe hapa from hapo juu., hii sio Dar CBD Moja kwisha.
1717439641367.jpg

1717439630645.jpg

1717439625388.jpg

FB_IMG_1711373977918.jpg

FB_IMG_1711120234515.jpg

FB_IMG_1706524004977.jpg
 
Jamaa ni lipumbavu sana 🤣🤣🤣 hiyo Mombasa haiwezi toboa kwa Zanzibar hata kwa uchawi.
Jinyonge ukitaka, haubadilishi lolote mjukuu, inakuumaa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mombasa is King🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Mombasa sio mwenzako., Mwanza, Arusha, Dodoma ata ukiweka kwa paomja hazitoshi, estate moja tu inazifunika., Sama boy 255
View attachment 3025774
View attachment 3025773
View attachment 3025775
View attachment 3025776
View attachment 3025777
View attachment 3025778
🤣🤣🤣 huu ni upumbavu gani.? Unajua kitu kinaitwa shaghala baghala.? The summary of what you have posted ni hii 👇
Screenshot_20240625_132029_YouTube.jpg
mjiji yetu haiwezi kuwa ya kipumbavu kama hivyo..😂😂😂 kubali yaishe.
 
Back
Top Bottom