Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mvua zipi unazosema wewe, si juzi tu kulikuwa na mafuriko kila kona Tanzania? Pili mradi haujaisha wala kukamilika 100% na tuko kwenye majaribio tukiangalia changamoto hizi na zile. Hatujakabidhiwa mradi na mkandarasi.
Pamoja na mafuriko yote lakini hakuna hata kikande cha tuta la SGR kilicho haribiwa na mafuriko lakini cheki yao. 😂😂😂
 
Hii ni kama mtaa mmoja tu with in this EA's concrete jungle 👇View attachment 3025938picha zenyewe zinajielezea. 🤣🤣🤣
MOMBASA
Mbsa.jpg
 
Sisi kwetu huku furaha tu. Adui yako muombee njaa. Wanaharibu nchi yao sisi tunajenga. Naomba Gen Z kamatieni hapo hapo. Chomeni moto kila kitu.
Ruto nae ashikilie hapo hapo 😅😅😅😅😅

Mm natamani hio finance bill ipite ili tuone wale matajiri waliokua wanajisifu humu ndani😅😅😅
 
Back
Top Bottom