Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona huyo kima hataki kuweka hizo picha za Mombasa ngoja nim prompt kidogo.
Mombasa moja👇
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    11 KB · Views: 7
Daily dose

#Rutomustgo
 
Ukiona unajiongelesha jambo moja na hakuna anayejishughulisha kukujibu yafaa ujiulize kama akili yako timamu.
Hii Barara A2 ambayo ni part of barabara ya kutoka Nairobi hadi Addis Ababa na pia part of the Great North Road kutoka Cape Town hadi Cairo imepita Samburu County na kipande kilichoko Samburu County pekee ni 96km. Hii barabara yote imepigwa lami kutoka Nairobi hadi Moyale (na hata kipande cha kwanza cha 153km kutoka Nairobi hadi Marua ni dual carriageway). Sasa iweje barabara moja pekee kwa county ambayo ni 96km ina lami alafu county nzima ikose 45km za lami? Alafu uzuri Kenya tuna Google streetview, ukiona unadangaywa unaweza ukaingia Google maps ukaconfirm. Wabongo sijui ni akili huwa hamna ama ujinga unasababishwa na chuki.

View attachment 3022674View attachment 3022675View attachment 3022676
Nyingine hii kutoka mpakani na Laikipia County hadi Baragoi, 126km yote mkeka na ujenzi unaendelea hadi South Horr.

View attachment 3022677
View attachment 3022680

Na ikumbukwe Samburu ni eneo kame lisilo na vitega mali na pia low population density. Tofauti na hiyo Kigoma yenu eneo lenye rotuba na mvua ya kutosha.
Ongeza na kilometres around maralal municipality town too.
 
Back
Top Bottom